Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

Hivi vita ni kama vya VIETNAM watandoka wenyewe tu Israel
Kieneo kidogo sana Gaza na kinatesa sana Israel.
Nguvu kubwa walizonazo na kuziba mipaka kuzuia chakula na bado Hamas wanazama na kuibuka huku na kule.
 
Waache wadumu ila waendelee kufa kenge mwitu migaidi hiyo
 
Vita vipi vya ana kwa ana hamas wanaviweza zaidi yakupigana wamevaa nguo za kiraia na kuvizia hii inasababisha vifo vya raia wa gaza
Vita unajifucha uvunguni mwa kitanda Cha Mama zao ,hao ni ma shujaa Gani ,vaa gwanda ujitanabaushe kama hawana Cha kupoteza ,wanajichimbia ka nguchiri
 
Mwambie na huyo anayeruka angani na midege ya kuangamiza naye ashuke chini aache hizo ndege apigane mkono kwa mkono mtaa kwa mtaa.
Uanaume gani huo unaruka juu kwa juu na kujificha kwenye vifaru vya chuma.
 
Vigo vya wanajeshi wa Israel vimetokea angani ? inapigwa vita angani nchi kavu ,majini ,Hamas waje uwanjani sio kujificha nyuma ya Mama na watoto
 
Akili gani hiyo unayotaka mwenzako atoke uwanjani kupambana wakati mwenye umepaa angani au umejificha kwenye vyuma.
 
😆😆 Kaka si tumeamua kupambana umejipima , Wana bunduki na makombora kama SS tu tuweke show off
 
Wapewe Pole magaidi wa Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…