Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

Hivi vita ni kama vya VIETNAM watandoka wenyewe tu Israel
Kieneo kidogo sana Gaza na kinatesa sana Israel.
Nguvu kubwa walizonazo na kuziba mipaka kuzuia chakula na bado Hamas wanazama na kuibuka huku na kule.
 
Naomba kuuliza;

•Inaposemwa mapigano makali yametokea kati ya Askari wa Israel na Hamasi, je, huwa ni mapigano ya uso kwa uso au Israel anakuwa anatumia ndege huku Hamas anatumia bunduki za mkononi?

•Israel anaposhambulia kutokea angani huwa anawashambulia wapiganaji wa Hamas kweli, mbona hawaishi?

•Au wapalestina wote vijana na wanaume ni Hamas?

Yote kwa yote, Hamas wamedumu katika vita hii, siki zinazidi kusonga.
Waache wadumu ila waendelee kufa kenge mwitu migaidi hiyo
 
Vita vipi vya ana kwa ana hamas wanaviweza zaidi yakupigana wamevaa nguo za kiraia na kuvizia hii inasababisha vifo vya raia wa gaza
Vita unajifucha uvunguni mwa kitanda Cha Mama zao ,hao ni ma shujaa Gani ,vaa gwanda ujitanabaushe kama hawana Cha kupoteza ,wanajichimbia ka nguchiri
 
Vita unajifucha uvunguni mwa kitanda Cha Mama zao ,hao ni ma shujaa Gani ,vaa gwanda ujitanabaushe kama hawana Cha kupoteza ,wanajichimbia ka nguchiri
Mwambie na huyo anayeruka angani na midege ya kuangamiza naye ashuke chini aache hizo ndege apigane mkono kwa mkono mtaa kwa mtaa.
Uanaume gani huo unaruka juu kwa juu na kujificha kwenye vifaru vya chuma.
 
Vigo vya wanajeshi wa Israel vimetokea angani ? inapigwa vita angani nchi kavu ,majini ,Hamas waje uwanjani sio kujificha nyuma ya Mama na watoto
 
Vigo vya wanajeshi wa Israel vimetokea angani ? inapigwa vita angani nchi kavu ,majini ,Hamas waje uwanjani sio kujificha nyuma ya Mama na watoto
Akili gani hiyo unayotaka mwenzako atoke uwanjani kupambana wakati mwenye umepaa angani au umejificha kwenye vyuma.
 
Akili gani hiyo unayotaka mwenzako atoke uwanjani kupambana wakati mwenye umepaa angani au umejificha kwenye vyuma.
😆😆 Kaka si tumeamua kupambana umejipima , Wana bunduki na makombora kama SS tu tuweke show off
 
Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.
Miongoni mwa maeneo yaliyolapozimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamojapole kambi ya Jabalia ambayo hapo awali ilikwishavurugwa kwa makombora kutoka angani na mizinga mpaka IDF wakaridhika kwa kuona wameshawashinda Hama.
Upinzani kama huo umeonekana pia maeneo ya kati ya Gaza.

As Israel pushes deeper into Rafah, Hamas regroups elsewhere in ungoverned Gaza

Wapewe Pole magaidi wa Israel.
 
Back
Top Bottom