Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

Kuna 'Tai' kadhaa nawajua naona kwa Siku za Karibuni 24/7 wana Nyuso za 'Furaha' sana na 'Wanatanua' mno nahisi nao pia mambo ni Mswano.
Huwenda wako na kazi maalumu hao. Hongera kwao lakni awakumbuke na wapiga kura wake ambao wengi ni waalimu wana maisha magumu sana huku mtaani wanasikitisha kwa kweli.
 
Na kutokueleweka na Wengi ndiyo lengo 'Mama' la GENTAMYCINE Mkuu. Ninataka niwe naeleweka na 'Geniuses' pekee tu wa hapa JamiiForums.
Na jua na mwezi wote huu tushindwe kukuelewa? Tumeelewa. Wasiokuwa wanajeshi katika nchi hiyo basi walie tu. Tutawapatia tikti za gari la moshi kwenda Arusha bure wakatalii Mto wa Mbu-Manyara NP.
 
Huwenda wako na kazi maalumu hao. Hongera kwao lakni awakumbuke na wapiga kura wake ambao wengi ni waalimu wana maisha magumu sana huku mtaani wanasikitisha kwa kweli.

Samahani Mkuu haoa unaiongole nchi ya 'Malawi ya Kaskazini' niliyopo Mimi 'Kimakazi' au labda unaiongelea nchi yako ambayo pia bado siifahamu?
 
Rais wa Malawi angetaka kumaliza mchezo kabisa angetoa na ajira kwa vijana japo hata kinafiki tu maana watu wa Malawi ni wepesi wa kusahau yaliyo wapata ila cha ajabu hataki kabisa maana hata polisi hajawaajiri kabisa.
 
Aisee, hata vyeo wao wamekua wakipanda kama kawaida kwa miaka yote mitano.

Wajitahidi tu kuwa wazalendo na kuheshimu katiba yao ya malawi kaskazini waliyoapa kuilinda
 
Hata kwetu Zimbabwe raisi wetu alikuwa anatupendelea sana lakini tukisema no ni no SAA hizi ni marehem madaraka kamuachia muΓ±angwa
 
Kwahiyo akiwaongezea mshahara peke yao akiacha kada zingine ndio watampigia kura oktoba ? Hakuna kitu kibaya duniani Kama kukosa akili kosa vyote pata akili weji Ni Pimbi kweli ndio atawatumia kuiba kura ? kupiga raia ? so what bipolar disorder ugonjwa mbaya sana.
 
Rais wa Malawi angetaka kumaliza mchezo kabisa angetoa na ajira kwa vijana japo hata kinafiki tu maana watu wa Malawi ni wepesi wa kusahau yaliyo wapata ila cha ajabu hataki kabisa maana hata polisi hajawaajiri kabisa.

Tafadhali Mkuu naiongelea nchi ya 'Malawi ya Kaskazini' na siyo hii 'Malawi' yako hapa sawa? Muwe mnanielewa Kwanza kabla ya Kuchangia sawa?
 
Maginius kama mm nimekuelewa mwache aongeze tu kila atambue kwamba hata wao wanautashi mwaka huu watamnyoosha
Tutazila pesa zake halafu tunafanya kama WAJUMBE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mkuu mbona una 'Mapovu' hivi na 'Hasira' kali nana hii? Kwani na Wewe ni Mmoja wa Raia wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' tulipo wana JF Wengi au?
 
Malawi ya kaskazini hii hii mzee mwenzangu

Kama kweli nawe upo hapa hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' nitajie Mikoa Miwili tu inayopatikana hizi Kambi 'Kubwa' za Renge Renge na Lindumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…