Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwenda wako na kazi maalumu hao. Hongera kwao lakni awakumbuke na wapiga kura wake ambao wengi ni waalimu wana maisha magumu sana huku mtaani wanasikitisha kwa kweli.Kuna 'Tai' kadhaa nawajua naona kwa Siku za Karibuni 24/7 wana Nyuso za 'Furaha' sana na 'Wanatanua' mno nahisi nao pia mambo ni Mswano.
pia mtu asipoelewa jambo ujue tu halimuhusu.Na kutokueleweka na Wengi ndiyo lengo 'Mama' la GENTAMYCINE Mkuu. Ninataka niwe naeleweka na 'Geniuses' pekee tu wa hapa JamiiForums.
Na jua na mwezi wote huu tushindwe kukuelewa? Tumeelewa. Wasiokuwa wanajeshi katika nchi hiyo basi walie tu. Tutawapatia tikti za gari la moshi kwenda Arusha bure wakatalii Mto wa Mbu-Manyara NP.Na kutokueleweka na Wengi ndiyo lengo 'Mama' la GENTAMYCINE Mkuu. Ninataka niwe naeleweka na 'Geniuses' pekee tu wa hapa JamiiForums.
Huwenda wako na kazi maalumu hao. Hongera kwao lakni awakumbuke na wapiga kura wake ambao wengi ni waalimu wana maisha magumu sana huku mtaani wanasikitisha kwa kweli.
Na jua na mwezi wote huu tushindwe kukuelewa? Tumeelewa. Wasiokuwa wanajeshi katika nchi hiyo basi walie tu. Tutawapatia tikti za gari la moshi kwenda Arusha bure wakatalii Mto wa Mbu-Manyara NP.
Rais wa Malawi angetaka kumaliza mchezo kabisa angetoa na ajira kwa vijana japo hata kinafiki tu maana watu wa Malawi ni wepesi wa kusahau yaliyo wapata ila cha ajabu hataki kabisa maana hata polisi hajawaajiri kabisa.
Kuna haja ya kuurudia ule mchepuko wangu wa kijeda wa pale Lugwalo
Ahahaha,ila we jamaa wewe dahHii sijui 'Lugwalo' yako inapatikana hapa 'Malawi ya Kaskazini' nilipo Mimi 'Kimakazi' Mkuu au? Kambi Kuu za hapa ni Renge Renge na Lindumo basi!
Malawi ya kaskazini hii hii mzee mwenzanguSamahani Mkuu haoa unaiongole nchi ya 'Malawi ya Kaskazini' niliyopo Mimi 'Kimakazi' au labda unaiongelea nchi yako ambayo pia bado siifahamu?
Kwahiyo akiwaongezea mshahara peke yao akiacha kada zingine ndio watampigia kura oktoba ? Hakuna kitu kibaya duniani Kama kukosa akili kosa vyote pata akili weji Ni Pimbi kweli ndio atawatumia kuiba kura ? kupiga raia ? so what bipolar disorder ugonjwa mbaya sana.
Malawi ya kaskazini hii hii mzee mwenzangu