Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

Rais wa Malawi Bwana sasa na bima ya afya kwa kila mwana nchi inakuwaje ata weza kweli
 
Rais wa Malawi Bwana sasa na bima ya afya kwa kila mwana nchi inakuwaje ata weza kweli

Wewe unaiongelewa 'Malawi' wakati Wenzako tunaiongelea 'Malawi ya Kaskazini' yetu je, tukueleweje labda Mkuu? au 'Uzi' umekuzidi Uwezo sana?
 
Hii ni very strategic kwake kwa matarajio kuwa KIKINUKA watamlinda! Wajeshi mliopigika miaka 5 mkikubali kununuliwa kihivyo mtakuwa hamjitendei haki yeye wenyewe!
 
Kuna 'Tai' kadhaa nawajua naona kwa Siku za Karibuni 24/7 wana Nyuso za 'Furaha' sana na 'Wanatanua' mno nahisi nao pia mambo ni Mswano.
Unaonaje haya mambo ya wanasiasa wa upande nwingine hapo Malawi Kaskazini wanaposema wataingia mitaani, nini watayapata? Unadhani hao waliopandishwa mishahara watakua upande gani?
 
Wewe unaiongelewa 'Malawi' wakati Wenzako tunaiongelea 'Malawi ya Kaskazini' yetu je, tukueleweje labda Mkuu? au 'Uzi' umekuzidi Uwezo sana?
Apana mkuu nime waza tu katika kipindi ichi Jua lina Zama Rais wenu apo malawi ya Kaskazini ange fanya mpango wa bima ya afya kwa kila mwana nchi! nina wa fuatilia vema mkuu me nipo Kibera 6.6km kutoka Nairobi mkuu nina choma mahindi na kuchemsha pia karibu sana hku pindi ukitembelea pande za hku!
 
Naizungumzia hapa nchi niliyopo 'Kimakazi' hapa 'Malawi ya Kaskazini' Mkuu na sizungumzii nchi nyingine sawa? Usitake 'Kuniboa' nikakujibu hovyo.
Wewe dogo unakuwaga na mikwara ya mbwa coco kama Polepole.
 
We single mother gentamycine una kisirani sana kila mtu JF unamuona kama ndio alikubebesha ujauzito na kukukimbia.
 
Mkuu kwani na Wewe uko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' kama Mimi GENTAMYCINE au? Na 'Wanajeshi' Wetu huku ni 'Wambea' hakuna mfano!

Bora umesema hilo ili na polisi na wafanyakazi wengine wa umma wapandishwe huko Malawi ya kaskazini. Na kwakupandisha huko ina maana yule mshiraz wa marashi ya karafuu ajiandae kutangulizwa kwa Sir God.
 
Naizungumzia hapa nchi niliyopo 'Kimakazi' hapa 'Malawi ya Kaskazini' Mkuu na sizungumzii nchi nyingine sawa? Usitake 'Kuniboa' nikakujibu hovyo.
Kwan umehisi Nani Mkuu maana hajamtaja jina naamini anaamanisha huyo Rais wa Malawi kaskazini ndiye muoga so ondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…