Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Malawi Bwana sasa na bima ya afya kwa kila mwana nchi inakuwaje ata weza kweli
Unaonaje haya mambo ya wanasiasa wa upande nwingine hapo Malawi Kaskazini wanaposema wataingia mitaani, nini watayapata? Unadhani hao waliopandishwa mishahara watakua upande gani?Kuna 'Tai' kadhaa nawajua naona kwa Siku za Karibuni 24/7 wana Nyuso za 'Furaha' sana na 'Wanatanua' mno nahisi nao pia mambo ni Mswano.
Apana mkuu nime waza tu katika kipindi ichi Jua lina Zama Rais wenu apo malawi ya Kaskazini ange fanya mpango wa bima ya afya kwa kila mwana nchi! nina wa fuatilia vema mkuu me nipo Kibera 6.6km kutoka Nairobi mkuu nina choma mahindi na kuchemsha pia karibu sana hku pindi ukitembelea pande za hku!Wewe unaiongelewa 'Malawi' wakati Wenzako tunaiongelea 'Malawi ya Kaskazini' yetu je, tukueleweje labda Mkuu? au 'Uzi' umekuzidi Uwezo sana?
Wewe dogo unakuwaga na mikwara ya mbwa coco kama Polepole.Naizungumzia hapa nchi niliyopo 'Kimakazi' hapa 'Malawi ya Kaskazini' Mkuu na sizungumzii nchi nyingine sawa? Usitake 'Kuniboa' nikakujibu hovyo.
Rudia tena kusoma, utaelewa tu ndgNimetoka kapa!
Mkuu kwani na Wewe uko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' kama Mimi GENTAMYCINE au? Na 'Wanajeshi' Wetu huku ni 'Wambea' hakuna mfano!
Ndio boss huyo huyo Mh.Malawi ya Kaskazini
Nyie bado salary inasoma 700kNoted.
Kwan umehisi Nani Mkuu maana hajamtaja jina naamini anaamanisha huyo Rais wa Malawi kaskazini ndiye muoga so ondoa shakaNaizungumzia hapa nchi niliyopo 'Kimakazi' hapa 'Malawi ya Kaskazini' Mkuu na sizungumzii nchi nyingine sawa? Usitake 'Kuniboa' nikakujibu hovyo.
Baba mwenye nyumba alieyumba anahaha sana!
Ndiyo mkuu wangu!Baba mwenye nyumba alieyumba anafikiri mwarubaini ni kujipendekeza kwa wanajeshi!Mkuu tupo wote hapa 'Malawi ya Kaskazini' au?
Simu hazikauki kwa kiranja mkuu wa tai, ila kahikikishiwa goli la ushindi katika kisiwa cha walima karafuu kidogo hofu imepungua kwake kule kisiwani kunampa hofu kuu.Mkuu tupo wote hapa 'Malawi ya Kaskazini' au?