Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.

'Malawi ya Kaskazini' nao wamekuambia kuwa wana 'Kitu' Kiitwacho sijui CCM na walishawahi Kuingia 'Mikataba' yoyote ile ya 'Madini' na Wakoloni?
 
Cha Msingi nakuomba Wewe tulia tu na uwe Msomaji wa 'Comments' za hapa kutoka kwa 'Vipanga' wanaonielewa GENTAMYCINE mapema sawa?
Duuuh! Baba Jesca ndio ameameamua kuwahadaa wanajeshi na ongezeko la mshahara!
 
Duuuh! Baba Jesca ndio ameameamua kuwahadaa wanajeshi na ongezeko la mshahara!

Nimejitahidi mno 'Kumtafuta' huyu sijui Baba Jesca hapa nilipo Kimakazi 'Malawi ya Kaskazini' wala sijampata na pia hata Raia wa hapa hawamjui.
 
Nimejitahidi mno 'Kumtafuta' huyu sijui Baba Jesca hapa nilipo Kimakazi 'Malawi ya Kaskazini' wala sijampata na pia hata Raia wa hapa hawamjui.
Rais wa Malawi kaskazin ana binti yake alizaa nje ya ndoa anaitwa Jesca! sio lahisi afahamike na wengi! siunajua wakubwa wanapenda kuficha michepuko yao!
 
Mkuu GENTAMYCINE hapo Malawi ya kaskazini ulipo, kuna jamaa yangu moja aliniambia wafanyakazi wa serikali hiyo ya Malawi ya Kaskazini kwa miaka mitano sasa hapakuwepo na ongezeko la Mishahara wala ajira mpya kwa miaka mitano......sijui kama ni kweli au ni umbea wa wapinzani wa serikali ya nchi ya hiyo.
 
naomba kujua raisi wa Malawi ya kaskazini? Je Malawi INA marais zaidi ya mmoja?
 
hivi Malawi INA marais wangapi?
 

Wao wameambiwa wajitahidi Chama 'Kikongwe' cha 'Kisiasa' cha nchi hiyo Kiitwacho MCC kinashinda na kubakia 'Madarakani' ndipo wataongezewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…