Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Umeshafika Kigamboni Kibada?Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni
😃😃😃Umeshafika Kigmboni Kibada?
Gentleman,Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni
Ñjoo hapa pentagon gentleman kama uko pande hizo, nina 40mns hapa before sijasepa 🐒😃😃😃
Kuna Kinyerezi mahali fulani jina limenitoka aisee, yaani kule Masaki/Oystebay ni uswazi tu
Zingatio.Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni.
🤔Umeshafika Kigmboni Kibada?
Oyserbay na masaki Kuna vinyumba vikuu kuu hamna kitu kabisa ilikuwa zamani😃😃😃
Kuna Kinyerezi mahali fulani jina limenitoka aisee, yaani kule Masaki/Oystebay ni uswazi tu
Hizo ni Kodi zako MkuuHuku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni
😃😃😃
Kuna Kinyerezi mahali fulani jina limenitoka aisee, yaani kule Masaki/Oystebay ni uswazi tu
Acha tu ndugu yangu, ila ungetusaidia na kapicha ili na sisi wa mikoani tuwe tumeshirikishwa vizuri.Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni
Mkuu nilishasema ukiisha huu uchaguzi wa LG tukutane japo tupate Kahawa. 😃Ñjoo hapa pentagon gentleman kama uko pande hizo, nina 40mns hapa before sijasepa 🐒