Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,810
- 2,844
Eeeh tena una kiwanja cha Helicopter juu....Nasikia mama nae ana mjengo wake hapo.
Na zile taa za barabarani zipo ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh tena una kiwanja cha Helicopter juu....Nasikia mama nae ana mjengo wake hapo.
niliona kuna fursa ya dk chache but anyway, appointment izingatiwe.Mkuu nilishasema ukiisha huu uchaguzi wa LG tukutane japo tupate Kahawa. 😃
Kwetu Mtama ?🤣🤣🤣niliona kuna fursa ya dk chache but anyway, appointment izingatiwe.
kwasasa nipo hapa kwetu pazuri tabata barakuda, kelele zimenichosha nadhani nimuhimu nikapumzike tu ..
nikijaaliwa kheri, alfajiri ninasafari kurejea jimboni.
pamoja sana gentleman na wadau wote JF 🐒
Tanzania hii, hakuna sehemu yenye mijengo kama bweni,Umeshafika Kigmboni Kibada?
nikijaaliwa kheri, alfajiri ninasafari kurejea jimboni...!!! Takuja huko next week nine ishu ya Condensate may need your backupniliona kuna fursa ya dk chache but anyway, appointment izingatiwe.
kwasasa nipo hapa kwetu pazuri tabata barakuda, kelele zimenichosha nadhani nimuhimu nikapumzike tu ..
nikijaaliwa kheri, alfajiri ninasafari kurejea jimboni.
pamoja sana gentleman na wadau wote JF 🐒
Ni mpangilio wa maisha tu....Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni
Na kwa Mungu yote yawezekana...Daaah moyo unaniuma maana mimi hata kiwanja sina.
Why this inequalities?
Ee mungu tusaidie
Tatizo la huko ni Barabara za mitaa. Huko mbweni wamejenga kweli Barabara za mitaa na ni quality kuliko baadhi ya highways hapa TanzaniaUmeshafika Kigamboni Kibada?
Hutaki Chawa Mkuu ? 🤣🤣🤣nikijaaliwa kheri, alfajiri ninasafari kurejea jimboni...!!! Takuja huko next week nine ishu ya Condensate may need your backup
Loliondo Hotel ? 🤣🤣🤣Hujafika kwetu tandale wewe,uko wapi nikutumie nauli?
Direction ya Loliondo Hotel tafadhali? Muda gani kutoka hapo hadi hapa tandale?Loliondo Hotel ? 🤣🤣🤣
Tangu nianze kusikia mbweni sijawahi ona hata picha
Hivi mandhani kila mtu amefika mbweni
Ukiwa na Buku unakula Chapati, Maharage, Maandazi matatu 🤣🤣🤣Direction ya Loliondo Hotel tafadhali? Muda gani kutoka hapo hadi hapa tandale?
1,000?Ukiwa na Buku unakula Chapati, Maharage, Maandazi matatu 🤣🤣🤣
Kauli za mafukara hizi. Kataa ufukara. Ukubali utajiri.Eti mshana , majumba tunayoishi ni makaburi juu ya ardhi . Yawe mazuri au mbavu za mbwa.
Huniamini au ?1000? Elfu moja ya kitanzania?🤣
Uongo