Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Karibu pia Kigamboni Gezaulole na Kimbiji baharini huku kama alivyosema Mshana Jr hapo juu. Tanzania watu wanajenga nyumba nzuri sana siku hizi.

images (2).jpeg

images.jpeg

images (1).jpeg
 
Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.

Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?

Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”

Visit Mbweni
Sema mwanangu zamani watu walikuwa wanapasifu obey, Masaki lakini sahv kuna hizi sehemu Tatu mbeleni, Goba, bonyokwa, Kigamboni kibada babu huku kuna Watu wananyanyua mijengo mzee siku s nyingi Masaki na obey patakuwa si dil tena
 
Oyserbay na masaki Kuna vinyumba vikuu kuu hamna kitu kabisa ilikuwa zamani
Lakini ndolio mji wenye shamanic na icon ya jiji la dar upimaji na miundo mbinu yote na huduma zote ni za viwango vya dunia sasa leo unaenda mbweni kwanza unapita kwa ndevu sijui kibaoni full stress hapa leo ukinipa nyumba ya kisasa mbweni na kunipa nyumba ya zamani cholesterol road au daraaja la Tanzanite nakubali masaki o bay na the like
 
Back
Top Bottom