Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Mitaji mikubwa angetembeza vyombo kama waha?

Aache kufungua duka kubwa aingie road kupigwa jua na mvua halafu tuamini ana mtaji mkubwa?

Tuache masihara mkuu mtu mwenye mtaji mkubwa hawezi kupigika road vinginevyo ziwe hela za masharti.
Unajua tofauti ya hao na waha?
 
Hiyo miaka 20 mingi sana mkuu hata sasa hivi tu hivyo Vibanda vipo, maana hiyo Mbweni anayoiongelea yeye ni ya ushuani kuna mitaa inaitwa Geza na Maputo ni uswazi typical, kwa ufupi maeneo mengi Dar yanayosifika kuwa ni ushuani lazima kuwepo mitaa ambayo ni uswahilini
Hao ni wenyeji waliowauzia maeneo hao washua
 
Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.

Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?

Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”

Visit Mbweni
Hata ndio mawazo yanayoishusha nchi
 
Duuh huo mjengo upo Gezaulole?
Sorry Jombaa sikuingia muda kidogo huku. Hii nyumba ipo Kimbiji Kigamboni kwa sasa inatumika kama airbnb inaitwa The White beach house. Gezaulole na Kimbiji specifically huku baharini kuna nyumba nyingi sana za design hii.
 
J

Amani wachen ushamba mji haupimwi kwa watu kushindana majengo hebu ulizeni jaman sasa leo unaongelea goba au bonyokwa hata barabra hamna unaweka prime house pembeni kuna mbege mvua umetoka asbh haipo ukirudi usiku gari inasleep ufinyanzi umeshiba mji watz hebu angalieni factors za kuwa jiji jamani ulizeni wakati wa ukoloni whites waliishi wapi msishangilie nyumba kuwekwa vioo nanrangi za zanyel
Mkuu unaweza kuwa sawa. Lakini pia nenda masaki na Obay, siku hizi kuna frame za kuuza chips. Kiukweli Tanzania bado tuna changamoto ya kupangilia makazi yetu. masaki ilipimwa vizuri sana na wakoloni. Wanasiasa wamegawiana nyumba matokeo yake, viwanja vinakatwa na kujengwa frames.

Mbweni kuzuri sana. Ila sijui kama wana sehemu za restaurants, shopping malls etc. ujenzi bora lazima uendane na quality of life in the form of best amenities and social services.

Kwa quality ya maisha inayoendana na makazi bora, Tz bado sana.
 
Maeneo ya uko ukubwa sana na wizi hasa nyakati za mchana maana waalifu uwa wanajua kuwa wenyeji wanakuwa awapo
 
Back
Top Bottom