Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Hata Mbezi Beach ilianza hivihivi, wabongo wape miaka 20 tu utaona vibandavibanda vya wauza nyanya kote huko.
 
Labda wasiopajua huko, tuliofika na tunaofika mara kwa mara tunaona kama Mnapasifia tu, Ila mkituma hizo picha na kiuhalisia mbona hata Tegeta, Kigamboni, Changanyikeni, Magomeni na hata baadhi ya maeneo Kijitonyama na Sinza hizo nyumba za namna hiyo zipo?! 🤔🤔🤔

Ni ushamba au ushabiki?!

Anyways! #MikocheniUlaya
 
Huu uzi bila picha ni uongo
PXL_20241115_112921953.NIGHT.jpg
 
Hata Mbezi Beach ilianza hivihivi, wabongo wape miaka 20 tu utaona vibandavibanda vya wauza nyanya kote huko.
Hiyo miaka 20 mingi sana mkuu hata sasa hivi tu hivyo Vibanda vipo, maana hiyo Mbweni anayoiongelea yeye ni ya ushuani kuna mitaa inaitwa Geza na Maputo ni uswazi typical, kwa ufupi maeneo mengi Dar yanayosifika kuwa ni ushuani lazima kuwepo mitaa ambayo ni uswahilini
 
Kuna sehemu panaitwa maputo huko huko mbweni ni uswazi kinoma... kuna kamtaa wanakaita mtaa wa mazombi maana watu wa hapo walikuwa wakilewa wanatembea kama mazombie...
 
Hiyo miaka 20 mingi sana mkuu hata sasa hivi tu hivyo Vibanda vipo, maana hiyo Mbweni anayoiongelea yeye ni ya ushuani kuna mitaa inaitwa Geza na Maputo ni uswazi typical, kwa ufupi maeneo mengi Dar yanayosifika kuwa ni ushuani lazima kuwepo mitaa ambayo ni uswahilini
Wabongo wameharibu mpaka "Millionaire's Row" waliyoachiwa na mkoloni Oysterbay Coco Beach.
 
Back
Top Bottom