Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
Kwa wale wanaohitaji ujenzi wa nyumba hizo za kisasa wawasiliane fundi huyu hapa 0780802230
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa rafiki😂japo sipajuiUpite na huku kwetu Manzese kwa Mfuga Mbwa
Hahahaa ingia hata GoogleSawa rafiki😂japo sipajui
Panaitwa Goba Maghorofani..Kuna Goba mahali flan cjui london or something ni hatare pale ,ukinunua kiwanja lazima wananzengo waa prove ramani usije ukachafua mji
Na Camera za kutosha Barabarani kabla ya kuingia eneo lile.Eeeh tena una kiwanja cha Helicopter juu....
Na zile taa za barabarani zipo ndani
Kinyerezi Kibaga.😃😃😃
Kuna Kinyerezi mahali fulani jina limenitoka aisee, yaani kule Masaki/Oystebay ni uswazi tu
Mitaji mikubwa angetembeza vyombo kama waha?Hajafeli huyo mitaji yao mikubwa sio kama waha.
Unapajua Kifuru au umejisikia tu kuandika?Haya wahi daladala urudi Kwenu kifuru
Kibaga kuna mijengo sanaKinyerezi Kibaga.
Na unarudishiwa sh 200 🤣🤣🤣1,000?
Elfu moja ya kitanzania?🤣
Uongo
Kuna waziri wa serikali ya awamu hii anakaa maeneo hayo.Panaitwa Goba Maghorofani..
Kila mkoa hapa TZ kuna ushuani na uswazi wala usiogopeHuku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”
Visit Mbweni
Yap...Kuna waziri wa serikali ya awamu hii anakaa maeneo hayo.
Hebu cheki PM kwanza 🤣🤣🤣Mbona kawaida Manyanza😃