Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

J
Sema mwanangu zamani watu walikuwa wanapasifu obey, Masaki lakini sahv kuna hizi sehemu Tatu mbeleni, Goba, bonyokwa, Kigamboni kibada babu huku kuna Watu wananyanyua mijengo mzee siku s nyingi Masaki na obey patakuwa si dil tena
Amani wachen ushamba mji haupimwi kwa watu kushindana majengo hebu ulizeni jaman sasa leo unaongelea goba au bonyokwa hata barabra hamna unaweka prime house pembeni kuna mbege mvua umetoka asbh haipo ukirudi usiku gari inasleep ufinyanzi umeshiba mji watz hebu angalieni factors za kuwa jiji jamani ulizeni wakati wa ukoloni whites waliishi wapi msishangilie nyumba kuwekwa vioo nanrangi za zanyel
 
Nilipita huko kama wiki 2 zilizopita, walai kuna mijengo ile tulizoea kuona kwenye movies za Kinigeria, pita njia ya nyuma nyuma uje utokezee Ununio ni balaaaaa, 🙌
Nikakumbuka miaka 20 iliyopita dada angu amenunua pori kama lote, miti ya mibuyu imejaa, barabara mbovu, nikasema ama kweli Dar haina kijiji, ukipata pori nunua huwezi jua patakuaje miaka ya mbele.
 
Mbweni nimekaa kama mwaka hivi, majumba ya kule ni ya maana kweli kweli. Halafu mengi hayana watu, wamepewa tu wagogo wenzangu choka mbaya waishi kama walinzi. Baadae nikahamia Kigamboni, Kibada. Pia huku siyo kinyonge. Kuna siku mimi na washkaji tuliamua kuzunguka tu mitaa ya kibada ndanindani humo, aisee tanzania hii hii ila kuna watu wanaishi kama mambele...
 
Madon wengi na wawekezaji wengi kutoka nje hasa wachina, wahindi na waarabu wengi wanaishi kibada.
 
Madon wengi na wawekezaji wengi kutoka nje hasa wachina, wahindi na waarabu wengi wanaishi kibada.
Yeah, wako wengi sana... Ina na ingaunga mwana pia wapo. Kuna siku niligongewa mlango kutoka nakuta mhindi anauza vyombo na kukopesha kama waha wafanyanyo. Kimoyomoyo nikawa najiuliza huyu kanjibai yeye alifeli wapi?
 
Ukibahatika kutembea USA, nenda jimbo la Florida, hasa Palm Beach, alafu mje mtoe ushuhuda wa mansions yaani mijengo ya kifahari hatari sana dunia hii..!! In US kila jimbo lina utajiri wa hatari hasa kwenye majengo

Dar Tz nenda Mbweni, part ya Kinyerezi, Kibada, Mbezi beach, baadhi ya sehemu ya Madale
 
Back
Top Bottom