Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Mitaji mikubwa angetembeza vyombo kama waha?

Aache kufungua duka kubwa aingie road kupigwa jua na mvua halafu tuamini ana mtaji mkubwa?

Tuache masihara mkuu mtu mwenye mtaji mkubwa hawezi kupigika road vinginevyo ziwe hela za masharti.
Unajua tofauti ya hao na waha?
 
Hao ni wenyeji waliowauzia maeneo hao washua
 
Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.

Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?

Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”

Visit Mbweni
Hata ndio mawazo yanayoishusha nchi
 
Duuh huo mjengo upo Gezaulole?
Sorry Jombaa sikuingia muda kidogo huku. Hii nyumba ipo Kimbiji Kigamboni kwa sasa inatumika kama airbnb inaitwa The White beach house. Gezaulole na Kimbiji specifically huku baharini kuna nyumba nyingi sana za design hii.
 
Mkuu unaweza kuwa sawa. Lakini pia nenda masaki na Obay, siku hizi kuna frame za kuuza chips. Kiukweli Tanzania bado tuna changamoto ya kupangilia makazi yetu. masaki ilipimwa vizuri sana na wakoloni. Wanasiasa wamegawiana nyumba matokeo yake, viwanja vinakatwa na kujengwa frames.

Mbweni kuzuri sana. Ila sijui kama wana sehemu za restaurants, shopping malls etc. ujenzi bora lazima uendane na quality of life in the form of best amenities and social services.

Kwa quality ya maisha inayoendana na makazi bora, Tz bado sana.
 
Maeneo ya uko ukubwa sana na wizi hasa nyakati za mchana maana waalifu uwa wanajua kuwa wenyeji wanakuwa awapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…