Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

Nekukubali mkuu...wewe siyo mnafiki!

Umenena ukweli mchungu.
 
Kuna mambo ma2 yatakayofanyika.
1 kumpitisha Samia lakn watatumia nguvu kubwa ya kuiba kura kuliko wakati mwingine wowote.
2 kumwekea pingamizi la kugombea
 
Umejitahidi sana kuchambua kwa kina sifa na tabia za watanzania, hujapindisha hata kidogo@@@
 
Bila tume ya uchaguzi feki unafikiri CCM wangekuwa madarakani leo?
 
Bila tume huru hakuna kitu
 
Chief naomba account zako nyingine nataka nikufollow plz
 
Mtoa thread ROBERT HERIEL

Upinzani kuichukua nchi Jambo lipo wazi na CCM Inc wanajua fika wanatawala kimabavu

Sasa ili u uchukue nchi polisccm wataridhia?

Kura zetu zinaibiwa kabla hata matokeo hayajafika kwa jaji anaetangaza matokeo ya uchaguzi wa jumla

Bila katiba mpya tutaendelea kuchezeshwa sebene

Na sebene la awamu hii hata yule mcharaza gitaa diblo dibala hajafikia uwezo wa kucharaza gitaa kama gitaa linavyocharazwa ndani ya sebene hili
 
Tunampenda sana huyo mama....SSH watumishi wa umma tutahakikisha anapita kwa nguvu zote....ametupa raha siyo kama Hayati Rais Magufuli alituwamba ngozi kwenye jua kali kwa miaka mitano
 
Chadema na Gaidi Mbowe ndo wanaharibu upinzani katika nchi hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mjinga wa mwisho nyie ndo mnafanya wapinzani waonekane hamnazo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Hakuna wakuwashawishi waingie barabarani Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…