Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

akuwe slay queen till date while she have two beautiful kids..? Ama uslei kwini unapaswa uishe lini..!?
Wolper tatizo nae kajiachia kanenepeana kama boga ndio maana anaonekana mzee kuliko dada zake akina Millen, Nancy, K-Lyn n.

Ila yeye kwakuwa ana ndoa, inategemewa zaidi atulie aache haya anayofanya hata kama mumewe kakengeuka ndio mumewe tena.
 
absolutely Sweets,
wanatakiwa wakae zao low key wa-enjoy matunda ya huba lao kimya kimya..!!
'unakula kisha unafuta mdomo', zile za kula nyama nyamaza..!!😂😂
🤣🤣🤣🤣 kumbe una vituko hivi?

Mimi katika wadada maarufu namkubali sana Maua Sama, kanajielewaaa.

Alipewa somo na Vanessa hajamwangusha, kanakula kimyakimya!
 
Wanawake wa kisasa sijui kuna lishe gani walikosa ambayo inasaidia ubongo kufanya kazi sawa sawa

Sasa huyu ni mtu ambaye wolper anaona ni sahihi kutoka nae katika umri huo wa miaka 37+. Yaani mtu umeshaolewa, unawatoto wawili unaacha kutulia kulea watoto, huyo kijana muache ajirushe kuna vitu anahitaji ili kichwa chake kifanye kazi sawa sawa ambavyo hauwezi mpa hata ufanyeje.

Wolper umri umeenda unaanza leta ligi na watoto wa kiume ambao ndio wapo kwenye prime, tangu lini
Tena bora hata kwa Rich, huyu mpya atamliza kilio cha mtu mzima mdomo wazi!
Tuko hapa
 
View attachment 2831270Ndoa ndoano! Mambo sio mambo!

Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi.

Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022.

Wawili hao walioonekana kuwa na huba la moto, shatashata lililokolea nazi enzi za uchumba wao uliopelekea Wolper kufikia uamuzi wa kumzalia kabisa mtoto Rich hata kabla ya kufunga ndoa.

Mara nyingi walionekana wenye furaha na mapenzi tele, wakipop champagne kila uchwao na kushona sare!
Wambea na wenye husda walinyanyasika vya kutosha!

Jinamizi liliyasogelea mapenzi yao baada ya kufunga pingu za maisha, na Wolper kubarikiwa mtoto wa pili.

Ilianza kuripotiwa ndoa kuingia mdudu baada ya mumewe kuonekana akila maraha China, mbaya zaidi kwa kipindi kirefu aliendelea kubaki huko bila kurejea nchini ilipo familia yake kitendo kilichozua minong’ono!

Wolper alishindwa kujizuia, akaanza kuongea mengi ya uchungu hata alipopata nafasi ya kuhojiwa na waandishi aliongea ambayo wengi waliyatafsiri kama alama nyekundu ktk ndoa yao.

Baada ya kipindi kirefu cha mumewe kuwa nje ya nchi, ni wazi Wolper uvumilivu umemshinda nae kaamua kujipa ‘raha’ kwa kutoka kimapenzi na mwanaume anayefahamika kama Vincent Azrone almaarufu G Nex.

Mwanaume huyo imebainika kuwa ni meneja katika ukumbi maarufu wa starehe, Havoc Night Spot uliopo Masaki jijini Dar Es Salaam.

Wapenzi hao wameonekana mara nyingi pamoja, hadi katika sherehe ya kuzaliwa kwa mwaume huyo, wawili hao walikaa pamoja bila kificho!

Taarifa za uhakika ni kwamba G Nex yeye bado hajaoa, na kiumri anaonekana mdogo kuliko Wolper.
Mara nyingi ameonekana akiwa anaendesha gari yake Toyota Crown nyeusi.

My take; Wolper, najua ilivyo vigumu kuishi ktk stress za mapenzi na ndoa kwa mwanaume asiyeeleweka.

Sitaki kukuhukumu kwamba ulikosea kuolewa na kijana mdogo kwako kiumri ambaye damu bado ya moto anahitaji kufanya mengi kama ambavyo wewe ulifanya kwa wakati wako…

Nakuombea kheri, haya yawe ni mapito mpate kuyaweka sawa na mumeo, ndoa na iheshimiwe na watu wote!

Pichani ni mpenzi mpya mjini wa Jack Wolper, Vincent Azrone ‘G Nex’

Wenu katika ubuyu,

Nifah.
Kwa waliocheza komborera wanajua lile chupa au chochote kinavyobutuliwa ashazoweya kubutuliwa na kila sana!
 
Kwasababu wataendeleza bata,
Mzee atataka akae walee familia tu
Siyo sahihi! Issue ni kuwa mtu kama wolper ni mkoboaji aliyekubuhu. Alifukuzwa shule sababu ya kuwakoboa wenzie.

Ukoboaji unaambatana na kuilamba K. Kwa mwanamke aliyezoea kunyonywa k hatosheki hadi ulimi ausikie kwa chinova.

Mwanaume anayejitegemea mtu mzima hawezi kuingiza ulimi wake katika K. Lakini Mario akiambiwa nyonya, hana jinsi. Ndo maana unakuta mamario wana midomo myekundu kwa kuathirika na mabakteria etc.

Ukumbuke masupastaa wengi ni wakoboaji. Cc Nifah
 
Tanzania ni kiwanda cha matatizo ya ndoa
 
Nimekuja kugundua Wopler anapenda vivulana vidogo, wakubwa huwa ni madanga tu.

Refer Harmonize, kale kavulana sijui brown, mume Rich ndio hivyo nae mdogo…
Sasa hivi hilo shimo si km mapango ya amboni?
Ukiingia ni mazima labda uingize kichwa mwili ufuate.
Dogo wa mitindo kakimbia ili asiendelee kuzama.
 
View attachment 2831270Ndoa ndoano! Mambo sio mambo!

Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi.

Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022.

Wawili hao walioonekana kuwa na huba la moto, shatashata lililokolea nazi enzi za uchumba wao uliopelekea Wolper kufikia uamuzi wa kumzalia kabisa mtoto Rich hata kabla ya kufunga ndoa.

Mara nyingi walionekana wenye furaha na mapenzi tele, wakipop champagne kila uchwao na kushona sare!
Wambea na wenye husda walinyanyasika vya kutosha!

Jinamizi liliyasogelea mapenzi yao baada ya kufunga pingu za maisha, na Wolper kubarikiwa mtoto wa pili.

Ilianza kuripotiwa ndoa kuingia mdudu baada ya mumewe kuonekana akila maraha China, mbaya zaidi kwa kipindi kirefu aliendelea kubaki huko bila kurejea nchini ilipo familia yake kitendo kilichozua minong’ono!

Wolper alishindwa kujizuia, akaanza kuongea mengi ya uchungu hata alipopata nafasi ya kuhojiwa na waandishi aliongea ambayo wengi waliyatafsiri kama alama nyekundu ktk ndoa yao.

Baada ya kipindi kirefu cha mumewe kuwa nje ya nchi, ni wazi Wolper uvumilivu umemshinda nae kaamua kujipa ‘raha’ kwa kutoka kimapenzi na mwanaume anayefahamika kama Vincent Azrone almaarufu G Nex.

Mwanaume huyo imebainika kuwa ni meneja katika ukumbi maarufu wa starehe, Havoc Night Spot uliopo Masaki jijini Dar Es Salaam.

Wapenzi hao wameonekana mara nyingi pamoja, hadi katika sherehe ya kuzaliwa kwa mwaume huyo, wawili hao walikaa pamoja bila kificho!

Taarifa za uhakika ni kwamba G Nex yeye bado hajaoa, na kiumri anaonekana mdogo kuliko Wolper.
Mara nyingi ameonekana akiwa anaendesha gari yake Toyota Crown nyeusi.

My take; Wolper, najua ilivyo vigumu kuishi ktk stress za mapenzi na ndoa kwa mwanaume asiyeeleweka.

Sitaki kukuhukumu kwamba ulikosea kuolewa na kijana mdogo kwako kiumri ambaye damu bado ya moto anahitaji kufanya mengi kama ambavyo wewe ulifanya kwa wakati wako…

Nakuombea kheri, haya yawe ni mapito mpate kuyaweka sawa na mumeo, ndoa na iheshimiwe na watu wote!

Pichani ni mpenzi mpya mjini wa Jack Wolper, Vincent Azrone ‘G Nex’

Wenu katika ubuyu,

Nifah.
Hawa mabinti walichokosea walifocus na sanaa kipindi ambacho walikuwa wako on fire. Tofauti ya Wema, Uwoya na Jokate, Faraja Kota ni shule. Baada ya kufanya vizuri kwenye miss Tanzania Wangefocus kwenye shule wangefika mbali sana. Maana huu mfumo wa haki sawa unapendelea wanawake wazuri wenye vyeti. Maana hata ukifuatilia huko nyuma Akina Chifupa na Vicky Kamata walikuwa wa moto sana.
 
Nifah inasemekana Wolper aliwahi kukuta meseji richi anabebishana na kidume mwenzie...baby baby nyingi. Inasemekana 😃
Hili pia nimewahi kulisikia dear, wengine wanadai Wolper anapenda maisha makubwa ndio Rich ikawa inabidi nae adange masikini!

Ila sijapata uhakika nalo, ngoja nitalifuatilia.
 
Siyo sahihi! Issue ni kuwa mtu kama wolper ni mkoboaji aliyekubuhu. Alifukuzwa shule sababu ya kuwakoboa wenzie.

Ukoboaji unaambatana na kuilamba K. Kwa mwanamke aliyezoea kunyonywa k hatosheki hadi ulimi ausikie kwa chinova.

Mwanaume anayejitegemea mtu mzima hawezi kuingiza ulimi wake katika K. Lakini Mario akiambiwa nyonya, hana jinsi. Ndo maana unakuta mamario wana midomo myekundu kwa kuathirika na mabakteria etc.

Ukumbuke masupastaa wengi ni wakoboaji. Cc Nifah
Aiseeee leo nitajifunza mengi! Kumbe huwa inashindikana kuacha?
 
Baada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi

Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.

Hadi tutakapoonana tena, RIP!
Hivi warumi aliiugua? Alikuwa na taarifa za moto sana
 
Back
Top Bottom