Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Baada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi

Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.

Hadi tutakapoonana tena, RIP!
Warumi apumzike ktkt amani
Mbele yeye nyuma sisi, Mungu atujaalie vifo vyema,🙏
 
Hawa mabinti walichokosea walifocus na sanaa kipindi ambacho walikuwa wako on fire. Tofauti ya Wema, Uwoya na Jokate, Faraja Kota ni shule. Baada ya kufanya vizuri kwenye miss Tanzania Wangefocus kwenye shule wangefika mbali sana. Maana huu mfumo wa haki sawa unapendelea wanawake wazuri wenye vyeti. Maana hata ukifuatilia huko nyuma Akina Chifupa na Vicky Kamata walikuwa wa moto sana.
Hapa tunarudi kwenye wazazi na malezi, wazazi wa hovyo waliwaacha watoto wao wakatumbukia kwenye shimo la umaarufu sasa hivi wanagombana na vijana wadogo wawaoe watoto wao waliokwisha kukubuhu!

Na wakati mwingine ni binti kujisimamia mwenyewe vilevile.

Mfano mzuri Sintah wa Juma Nature, alishtuka mapema akarudi shule sasa hivi yuko pazuri hana njaa.
 
Baada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi

Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.

Hadi tutakapoonana tena, RIP!
[emoji15][emoji15][emoji15] niffer kwani warumi alikufa? Lini?
 
Back
Top Bottom