Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Baada ya kipindi kirefu, nimeweka thread hii ya ubuyu katika jukwaa hili kama sehemu ya kumuenzi rafiki & binamu yangu warumi

Endelea kupumzika kwa amani binamu, niko hapa kuendeleza kile ulichokuwa unakipenda zaidi hapa JF.

Hadi tutakapoonana tena, RIP!
usisahau kuweka na zile "mxieeww" alizokuwa anazipenda kwenye nyuzi.

Hakika pengo lake halijazibika kabisa
 
Back
Top Bottom