Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Heshima yako Mwenyekiti gelofriend.Alikuaga na nenga tayari ndo wakaachiaga na koneksheni ya kile kyupi....haya kaenda kwa marehemu huku wapenzi watazamaji tunajua kabisa "kosa la marehemu" halafu tena akarudi kwa nenga, ina maana hapo wote....aaahhh au basi tu
Kipindi cha koneksheni ya kyupi; mama Naya alikuwa na jasiri muongoza njia. Yaani koneksheni ilitoka baadaye wakiwa wameshaachana. Baba Naya mwenyewe alisema alihisi kwa influence ya jasiri; ile issue ingeweza kumaliza career yake kabisa. Lakini jasiri alimsaidia sana hadi wakapata source ya koneksheni; na akawaomba tu wamsamehe aliyewavujishia video yao. Walikuja kurudiana baadaye sana after jasiri kufariki, na mama Naya alipambana sana kurudi kwenye maisha ya baba Naya as tayari alikuwa na binti mwingine. Those two; mimi huwa naona wanapendana kweli