Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Humjui Uwoya,wasanii wabongo movie karibia wote kamaliza,ukija kwenye bongo fleva wengi wamemgonga. Tena uwoya anatabia fulani kama za wanaume,akikutaka anakutongoza mwenyewe, ila ukishamgonga anataka kila mtu na hamsini zake.Linex alijaribu kung'ang'ania akamwambiwa hana hela ya kumtunza.

Ukipata story za hawa wasanii makambini inaweza ukachoka,kwani huko huwaga ni mwendo wa kugongana.
Kumba Irene ni baharia? Lols

Ila yeye ndio akanasa kwa Dogo Janja sasa, ama kweli ndege mjanja nae hunasa.
 
Heshima yako Mwenyekiti gelofriend.

Kipindi cha koneksheni ya kyupi; mama Naya alikuwa na jasiri muongoza njia. Yaani koneksheni ilitoka baadaye wakiwa wameshaachana. Baba Naya mwenyewe alisema alihisi kwa influence ya jasiri; ile issue ingeweza kumaliza career yake kabisa. Lakini jasiri alimsaidia sana hadi wakapata source ya koneksheni; na akawaomba tu wamsamehe aliyewavujishia video yao. Walikuja kurudiana baadaye sana after jasiri kufafiki, na mama Naya alipambana sana kurudi kwenye maisha ya baba Naya as tayari alikuwa na binti mwingine. Those two; mimi huwa naona wanapendana kweli
That's the story...
 
Alikuaga na nenga tayari ndo wakaachiaga na koneksheni ya kile kyupi....haya kaenda kwa marehemu huku wapenzi watazamaji tunajua kabisa "kosa la marehemu" halafu tena akarudi kwa nenga, ina maana hapo wote....aaahhh au basi tu
Ati kosa la merehemu? 🤣🤣🤣

Ila si walipima na wakaonesha vipimo hadharani jamani? Hasa Nenga ndio alipanic baada ya hiyo issue ya kosa la marehemu iliposhika kasi.
 
Ati kosa la merehemu? 🤣🤣🤣

Ila si walipima na wakaonesha vipimo hadharani jamani? Hasa Nenga ndio alipanic baada ya hiyo issue ya kosa la marehemu iliposhika kasi.
Oooh kama ndo hivo afadhali....mama naya atoe sadaka katika ile steji afu akose naniliu labda walikua hawananiliu aaaah hivi nmeandika nini hongera zake nlikuaga namuwaza.
 
ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya mapenzi ya leo yanashikiliwa na pesa. Na hii ni kwa rika zote. Bila pesa ni ngumu mahusiano kudumu hata kama mngekuwa mnapendana vipi. Ni wachache sana tena sana wanaweza kushindana na tamaa ya pesa. Ndo maana wadada kwa wakaka, pesa ikishaingia kweny equation, penzi lipo hatarini.
mwenyezi Mungu atusaidie.
 
Back
Top Bottom