Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Akili kubwa zinaongelea maendeleo.

Akili za kawaida zinaongelea matukio.

Akili mbovu zinaongelea watu.
Kwahiyo na wewe unavyokazania mambo ya Israël & Palestine huku ukijua wazi kelele zako haziwezi kubadili chochote, akili yako iko kwenye kundi gani?

Faiza please, kila mtu na namna anavyoendesha maisha yake. Sisi tunaoongelea watu hapa huenda kati yetu wapo walio mbali kimaendeleo hata kukuzidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c alisema Nenga alikataa kabisaa, ila nandy had alimshika mguu ndo akakubalii.
Hata mimi najua hivyo, Nenga alikaza sana.
Ilibidi Nandy nae aombe mno hadi kurudiwa.

Kuna siku Nandy alimpost Bill kwenye birthday yake na maneno ya mapenzi, Bill aliwakaaaaa.
Alisema ana girlfriend, Nandy aheshimu hilo.
Ikabidi afute!
 
🤣🤣Kumbe
Wanawake ni tofauti na wanaume.

Mwanaume mtu mzima anaweza kuwa na kabinti chochote ili mradi ni kabinti, ila wanawake wanazingatia vigezo zaidi ukiwemo upendo.

Wanawake tunaongozwa na mapenzi zaidi, sio tamaa.

Ndio maana unaweza kuona wanaume wengi wanaweza kutoka hadi na wasaidizi wao wa ndani, huku wanawake ikiwa ni vigumu.
 
Hata mimi najua hivyo, Nenga alikaza sana.
Ilibidi Nandy nae aombe mno hadi kurudiwa.

Kuna siku Nandy alimpost Bill kwenye birthday yake na maneno ya mapenzi, Bill aliwakaaaaa.
Alisema ana girlfriend, Nandy aheshimu hilo.
Ikabidi afute!
Na alikaza kweli; mwisho wa siku mama Naya akamuomba tu baba Naya aangalie mwenyewe kati yake na huyo girlfriend wake by then; nani atamfaa zaidi. Against all odds; mama Naya, akampata tena baba Naya. Such a beautiful love story
 
Back
Top Bottom