Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

DA niffah hebu bhana nawee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1M hiyo vepeee?
We ngoja siku nitakuletea risiti, sijawahi thou.
Siku nikiupata wa moto nitapeleka nikuleteeni muamala wa maokoto.

Mange hana hiyana, analipa vizuri sana umbea exclusive na wenye ushahidi.
Watu wanachukua mpaka 3M wewe unashangaa 1?
 
Na alikaza kweli; mwisho wa siku mama Naya akamuomba tu baba Naya aangalie mwenyewe kati yake na huyo girlfriend wake by then; nani atamfaa zaidi. Against all odds; mama Naya, akampata tena baba Naya. Such a beautiful love story
Hivi unajua kwanini nawatetea sana? Kalavu stori kao kanaendana na kangu kiasi fulani heheheee
 
Heheheeh zinaanzaje kuchakaa sasa; nazi-update tu. Namkumbuka sana huyo binti enzi zake alijua kumnyima raha mama juhjuh; full kujipost amevaa mashati ya jasiri.
Alivyokuwa anachezaga na lile tumbo lake jamani? Tumeona mengi sana.

Ila Zamaradi ni mtulivu sana, imagine fujo zote zile lakini aliendelea na Baba Juhjuh wake huku akiwa na Shuby kichanga!

Mimi nisingeweza kwakweli, moto ungewaka na mashati yangechomwa moto!
 
Alikuwa anapiga mahesabu yake kimyakimya; mara paap kaibuka na Shabani.
Aisee alijua kuvumilia; sio kwa humiliations zile
 
Alikuwa anapiga mahesabu yake kimyakimya; mara paap kaibuka na Shabani.
Aisee alijua kuvumilia; sio kwa humiliations zile
Kwakweli alidhalilika sana, lakini reaction yake nilinyanyua mikono!

Zama ni mafia, Jasiri wa kulia michozi ya kamasi kweli?
Halafu ujue wanaume walivyo wabaya, anajiliza vile acha tu kumzalisha yule Caby, tayari alishamvisha pete Nandy!

Nandy ndio alimtoa Zama kwa Jasiri, wengine wote alivumilia ila pale alinyanyua mikono.
Nasikia walikuwa wanapendana balaa!
 
Hata mimi najua hivyo, Nenga alikaza sana.
Ilibidi Nandy nae aombe mno hadi kurudiwa.

Kuna siku Nandy alimpost Bill kwenye birthday yake na maneno ya mapenzi, Bill aliwakaaaaa.
Alisema ana girlfriend, Nandy aheshimu hilo.
Ikabidi afute!
Kwahio nenga amemrudia kwa kumuonea huruma 😄
 
Na alikaza kweli; mwisho wa siku mama Naya akamuomba tu baba Naya aangalie mwenyewe kati yake na huyo girlfriend wake by then; nani atamfaa zaidi. Against all odds; mama Naya, akampata tena baba Naya. Such a beautiful love story
Ila ukiangalia hapo ni kama jamaa amegeuzwa geuzwa tu kama chapati
 
Back
Top Bottom