Huku ni kudhalilisha elimu ya degree. Yaani kuwa mhudumu wa basi napo mpaka degree. Wamiliki wa mabasi acheni dharau

Acha watu wapate hiyo kazi.. wakiwa kwenye hiyo kazi ndo watapata connection ya kazi za ndoto zao. Tena ninawashauri watakaopata wapige kazi na kuhudumia abiria vizuri ili kutengeneza mazingira ya bahati kuwa upande wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…