Huku ni kudhalilisha elimu ya degree. Yaani kuwa mhudumu wa basi napo mpaka degree. Wamiliki wa mabasi acheni dharau

Mbwembwe nyingi utafikir mabasi yao yanafanya safari kutoka New York City kwenda mbinguni.
 
Jijini dar ukiomba kazi hata ya kufyeka nyasi na maua kwenye maofisi makubwa ukiwaambia una degree au hata diploma unaikosa hiyo kazi anapewa darasa la saba au form four. Wanaogopa sana wenye elimu kubwa
 
Wenye elimu kubwa lazima wakuzingue ukitaka kuleta janja janja. Mabosi wengi wa kibongo hawako straight. Mshahara tarehe 48 na bado utapiga kazi hata zilizo nje ya mkataba... wasomi wengi hawawezi kubali.
 
Back
Top Bottom