DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mbwembwe nyingi utafikir mabasi yao yanafanya safari kutoka New York City kwenda mbinguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕wapumbavu wengi hata haya hawana, we ulitaka uone mvuto gani kwenye basi. Halafu ukute mshamba flani tu umefika mjini juzi.
Vijana kwa kulalamika hatujambo.. nafasi ya kazi inatolewa bado malalamiko
Bado hamjasema. Watu hawataki makaratasi, wanataka maarifa yanayosadikiwa kuwa unayo.
Wenye elimu kubwa lazima wakuzingue ukitaka kuleta janja janja. Mabosi wengi wa kibongo hawako straight. Mshahara tarehe 48 na bado utapiga kazi hata zilizo nje ya mkataba... wasomi wengi hawawezi kubali.Jijini dar ukiomba kazi hata ya kufyeka nyasi na maua kwenye maofisi makubwa ukiwaambia una degree au hata diploma unaikosa hiyo kazi anapewa darasa la saba au form four. Wanaogopa sana wenye elimu kubwa