Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kwa digrii nyingi za hivi vyuo vyetu kazi yake tu ni kumuonyesha anayeweza kuwa mwajiri wako kwamba ulijitokeza mahali fulani kwa miaka kadhaa mfululizo, ukakamilisha mfululizo wa kazi fulani ipasavyo, na kwa wakati. Kwa hivyo, ikiwa atakuajiri, kuna uwezekano kwamba utakuja hapo kila siku na huta *@&#&£ biashara yake