Ewaaah! Warembo wenye sifa hizo wachangamkie fursa hiyokwa sasa unapata mwenye msambwanda na degree.
we unaelewa hata maana ya communication skillsStrong communication skills… we form four yako ulikuwa unalimudu somo la communication skills??
Tunaishukuru serikali ya CCM kwa kuwezesha kupatikana wasomi wenye misambwanda. Zamani ilikua mtu kama spika kijana Tulia ndo bila kuuliza unajua ni msomi... ila siku hizi wadada wenye shepu za Uwoya, Mariam biriani, Sanchoka nao ni wasomi na unakuta ni kipanga haswa.Ewaaah! Warembo wenye sifa hizo wachangamkie fursa hiyo
wapumbavu wengi hata haya hawana, we ulitaka uone mvuto gani kwenye basi. Halafu ukute mshamba flani tu umefika mjini juzi.Wanazungumzia urembo wakati mabasi yenyewe hayana mvuto, wangeanza wao ku beautify mabasi
we unanuka mdomoBasi zingekuwa km zile scania za kuanzia Zambia South Africa ingeleta tija sio haya makopo ya mchina
Muache ,utadhani ndiye wa kwanza kuishika iyo degree. Ishu Ni hela. Kuna watu wana masters na degree wanalipwa hela ambayo mwanachuo wa Tanzania anamzidi ,Mana saivi madogo Wana lamba 300k per month. Sasa Kuna watu wanalipwa 150-200kNdugu badilika utabaki na hiyo degree yako wenzako wanapiga pesa.
Hajui demand na supply ndiyo inayoamua sokoni uuzejeBidhaa ikiwa nyingi sokoni itauzwa kwa bei chee, ni kama degree zilivyoongezeka mtaani lazima thamani ididimie.
Unaweza kupata 100% kwenye somo la communication skills lakini bado ukawa poor kwenye ku communicate na watu.Strong communication skills… we form four yako ulikuwa unalimudu somo la communication skills??
Mwaka 2018 kwenye biashara yangu ya mgahawa kulikuwa mpika vitafunwa mwenye Bcom ya Mlimani. Yule dada wakati kaomba kazi hakutaja elimu yake kwasababu ilikuwa anahitajika kwa haraka sana hakukuwa na muda wa kuulizana. Baada ya miezi kupita ndo katika stori akaanza kutupigia stori za UDBS na mambo mengine mengi. Nilishangaq sana pamoja na kuhuzunika huku nikijiuliza maswali mengi. Kitu alichokuwa tofauti ni ule u-smart wake. Vile vitafunwa vyake vilikuwa na quality ya popote duniani na alikuwa msafi balaa. Kwa sasa sijui yuko wapi ila kama aliendelea na upishi wa vitafunwa nadhani atakuwa yuko sehemu yenye malisho mazuri.Unashangaa hiyo? Shangaa kuna vijana wameanzisha pre form tuition wanataka walimu wa kufundisha watoto hao wawe na degree nimecheka sina mbavu. Yaani wenye degree wanadhalilika kiasi hicho? Si bora nikalime nyanya shambani, full kichekesho ni mapatano ya mshahara hauendani na ukubwa wa elimu. Tuache ushenzi tuheshimu na kuthamini elimu yetu
Muhimu maokoto tu yawepo.................ila inaonyesha hii kampuni hii ipo sirias sana na maisha,vijana ombeni fursa ndio hii