Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

CCM imechokwa Hadi vijijini, shangazi zangu huko Mtwara hawataki hata kuisikia, hawajalipwa fedha za korosho zao na msimu mpya unaanza. Ndege zinawasaidia nini.
Shangazi zako hawakipigwa kama mkuu alivyoahidi?
 
Wastaafu wenyewe mnashindwa kuwalipa halafu mnajisemesha eti tuna mapesa mengi sana sisi.Hovyoo
 
Huku ndo kukurupuka anakosema mleta mada, Wewe huo mzunguko mzuri wa fedha unakupitia wewe na ndugu zako mliojishikiza Ikulu unadhani hali iko hivyo kwa kila mtu?
acha ufalla kafanye kazi.

kama biashara haziendi unaishije hapo ulipo, au wewe ni mwajiriwa!!!
 
maduka gani yamekosa wateja, kkoo nakwenda kila siku ndio kwanza watu wamejaa mpaka usalama uko mashakani.

huku mtaani watu wanajenga fremu kila siku na zinapata wapangaji, boda boda zinabeba watu kila siku mbali na kwamba zinaongezeka kununuliwa.

anakuja mbuzi kuandika mapovu humu, kisa tu ana ndoto za bwana ake kwenda ikulu.
 

dhambi ya usaliti ni mauti sasa unachoshangaa ni nn apo! he was supposed to be dead by now, YUda anaweza kukuelezea vizuri, ukiachana na uongo wenu mnaosambaza, ushawahi kuona wap duniani mtu anaenda kuwakilisha wananchi bungeni alafu anafukuzwa uanachama?
 
umezaliwa 2015 wewe eh??
 
Wapo wengi tu.
Mm ni mwajiriwa nawajua wengi sana. Alafu watu wanateseka sana, acheni porojo mnajiongezea dhambi tu.

mkikosa hoja mkalale tu, hao watu mnaowaongelea ni wakina nan, mbna sasa mpaka mnakoswa na mawe kwenye mikutano, hao ni nan mnaowatetea mpaka wanataka kuwaua
 
Kwa comment hii, ngoja niamke nijiandae kwenda Church. Mungu akusamehe.
 
Kwa comment hii, ngoja niamke nijiandae kwenda Church. Mungu akusamehe.

wewe usilazimishe mada za unafki, kifupi mkatieni tiketi arudi kwao belgium, wananchi wanataka kumpiga na mawe, wasiojulikana wanamsubiri kwa ham sasa anafanya nn apa aondoke tu
 
hakuna mstaafu aliebaki na malalamiko hajalipwa, leten uongo mwingine
Hahah we hujui kitu endelea kuimba tu iyena iyena,nenda hapo dar kwny office za mifuko ya jamii ujionee maajabu tena siku hizi wastaafu wamepigwa marufuku kufika kwny ofisi hizo eti madai yako yanashughulikiwa,yote hayo ili tu wastaafu wasijae pale ofisini na pakaonekana mnadaiwa.
 

sasa si kila mwaka watu wanastaafu aisee, kama ni yale ya kipindi kile hakuna ambae hajalipwa mpaka leo, ivi mbna vyama vingine havina vurugu kama nyie mbna wengine page zao zko safi kabisa sera nzuri hawana maneno mengi nyie mna tatizo gan
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
sasa si kila mwaka watu wanastaafu aisee, kama ni yale ya kipindi kile hakuna ambae hajalipwa mpaka leo, ivi mbna vyama vingine havina vurugu kama nyie mbna wengine page zao zko safi kabisa sera nzuri hawana maneno mengi nyie mna tatizo gan

Hahah hamna hela nyie,maneno meeeeengi.

Lipeni pesa kwa wastaafu.
 
Kasema atawajengea uwanja wa mpira mwingine. Yaani yeye shida na matatiO lukuki ndani ya mkoa wa Dodoma hazioni. Ni mnafiki fulani hivi yuko nyuma na neno Uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…