mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hakika mkuu.Ukimchagua Lisu ni sawa na kumuweka madarakani Amsterdam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu.Ukimchagua Lisu ni sawa na kumuweka madarakani Amsterdam.
porojoUkimchagua Lisu ni sawa na kumuweka madarakani Amsterdam.
Upuuzi mtupu, huyo anayesema hatakusanya kodi na hapohapo anatuahidi mambo kibao, atalipa vipi wafanyakazi bila kodi? ataajiri vipi bila kodi? ataongeza mishahara vipi bila kodi? hivi mnatuchukuliaje watanzania lakini?Dk 30 za Lissu zina maana kuliko massa 8 aliyoongea Magufuli. Muongo huzunguka sana ili kuaminisha uongo wake.....
Zimetoa ajira kwa ma pilot 10sasa huoni umetoa pumba na umejijibu, kwan hizo ndege hazijatoa ajira? alafu mbna mzunguko wa pesa uko fair, infact tsh ndo pesa pekee mwaka huu iliokua head to head na USD, kwa kifupi nenda tu kalale
Zimetoa ajira kwa ma pilot 10
Lakini hiyo pesa ingeeekezwa latika ajira maelfu wangeoata ajira na mishahara na mafao yangeozeka
USITUFOKEE. NYIE MNAONUFAIKA NA UTAWALA HUU MKO WACHACHE SANA KULIKO TUNAOUMIZWA. HATA HIVYO BADO HAMNA AMANI KATIKA NYOYO ZENU.Utachagua Rais wa EU akili zinakutosha?
Tsh ipi unayoongelea wewe hapo mkuu?sasa huoni umetoa pumba na umejijibu, kwan hizo ndege hazijatoa ajira? alafu mbna mzunguko wa pesa uko fair, infact tsh ndo pesa pekee mwaka huu iliokua head to head na USD, kwa kifupi nenda tu kalale
Watanzania wanataka ;-
- Hali bora za maisha.
- Ajira
- Biashara zao zifufuke na kukua
- Mzunguko wa fedha uwe mzuri
- Uhuru na haki vitamalaki.
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)
View attachment 1552612
Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
View attachment 1552610
Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.
Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.
Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
Huyo anayekusanya kodi za dhulma na wizi mbona hajaajiri vijana kwa muda wa miaka sita anapiga blah blah tu???ataajiri vipi bila kodi?
👊👊Hakuna awamu watu wameuwawa Kama hii. Mnalijua hilo na linawaumiza Sana, mambo ya hovyo na yakuchekesha mengi yamepatikana awamu hii.
Kivuli chenu kikuu Cha kujifichia ni
--uzalendo
--uchochezi
--ubeberu
--tunamtaka dereva wa Lissu
Uzalendo huo mmeuanza awamu hii? Madudu na maovu yapo awamu hii ya utawala wa washamba(Nape alisema)
Kiukweli hatuhitaji ndege kwa sasa.Tulizo nazo zinatosha.Na haya ni maoni ya watanzania wengi.Tunatakiwa kuwekeza katika maendeleo ya watu kwa sasa na sio katika maendeleo ya vitusasa wewe ulitaka wanaosomea pilots wasiajiriwe ama? na wale air host je? acheni pumba
Wapumbavu na malofaaa ndo akinaaaaunadai uhuru na haki wakati kuna wagombea walienda kuwawakilisha wananchi bungeni mkawafukuza,
Sio nchi ya wafanyakazi pekee hii, pesa inayokusanywa tunaona inakoenda, tuliombwa kufunga mikanda na tumeridhia, wakulima washalalamika lini kutokuajiriwa miaka yote wafanyakazi wanapoajiriwa? ni lini wakulima weshalalamika kutokuongezewa mishahara wakati wafanyakazi wakiongezwa mishahara? SGR na Mwl Nyerere HEP zitatumiwa na wote wakulima na wafanyakazi, huyo anayetueleza atafuta kodi na bado atatoa huduma ya afya bure, atalipa mishahara na kuleta mafuriko ya bidhaa za nje nchini atatoa wapi pesa? tunachagua afisa masoko wa mabeberu?Huyo anayekusanya kodi za dhulma na wizi mbona hajaajiri vijana kwa muda wa miaka sita anapiga blah blah tu???
Upuuzi mtupu, huyo anayesema hatakusanya kodi na hapohapo anatuahidi mambo kibao, atalipa vipi wafanyakazi bila kodi? ataajiri vipi bila kodi? ataongeza mishahara vipi bila kodi? hivi mnatuchukuliaje watanzania lakini?
Anaahidi kufuta anazoziita kodi 15 za wafanyabiashara na hivyo kuruhusu bidhaa kuingia nchini bure, kweli tunamchagua ili atafutie mabwana zake soko la bidhaa za viwanda vyao? tunamchagua ili aifanye Tanzania dampo? anataka turudi kwenye ukoloni? Pathetic..