Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

Watanzania wanataka ;-
  • Hali bora za maisha.
  • Ajira
  • Biashara zao zifufuke na kukua
  • Mzunguko wa fedha uwe mzuri
  • Uhuru na haki vitamalaki.

Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)

View attachment 1552612
Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
View attachment 1552610

Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.

Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.

Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
Kwani ni lazima rais awe magufuli au mwanaccm? Ujinga wenu tu
 
Upuuzi mtupu, huyo anayesema hatakusanya kodi na hapohapo anatuahidi mambo kibao, atalipa vipi wafanyakazi bila kodi? ataajiri vipi bila kodi? ataongeza mishahara vipi bila kodi? hivi mnatuchukuliaje watanzania lakini?

Anaahidi kufuta anazoziita kodi 15 za wafanyabiashara na hivyo kuruhusu bidhaa kuingia nchini bure, kweli tunamchagua ili atafutie mabwana zake soko la bidhaa za viwanda vyao? tunamchagua ili aifanye Tanzania dampo? anataka turudi kwenye ukoloni? Pathetic..
We ng'ombe Rais Lissu kasema wapi kwamba hatakusanya kodi?
Misukule ya lumumba hamna akili kabisa.
 
Yani mimi amenishangaza kwa kweli. Ndege zitapandwaje kama watu wake hawana hela? Kwa nini mawazo yake ni ndege, barabara.. yani hapo kamaliza. Huyu bado anahisi ni waziri.
 
sasa si kila mwaka watu wanastaafu aisee, kama ni yale ya kipindi kile hakuna ambae hajalipwa mpaka leo, ivi mbna vyama vingine havina vurugu kama nyie mbna wengine page zao zko safi kabisa sera nzuri hawana maneno mengi nyie mna tatizo gan

Sasa kinachoimbwa kila siku ni nini we Mataga? Watu hawalipwi stahiki zao kwa wakati. Wazee kibao mpaka wanapata stroke kufukuzia mafao yao. Hapa tu Mzee wangu kafukuzia mafao mwaka wa 12 sasa patupu.. story tu kila siku. Serikali hii Mungu atawalaani.
 
Yani maisha yalivyotufilimba hivi halafu unathubutu kutoka mbele za watu kueleza yaleyale uliyofail nayo vibaya??? Ndege tena jamani?
 
Nimemwambia mdogo wangu ambaye ni jobless sasa kaamua kuwa Bodaboda, amchague Magu aendelee kula msoto. Kachukia sana.
Magu hatukutaki
 
Mh Lissu kama unasoma hapa, pitia kwenye sera hizi hizi za mgombea huyu. Gongelea misumari hii hii, sera zake ni dhaifu mno. Kampeni zako zimeshakuwa rahisi sana. Tena huna haja ya kumtaja jina. Tumia maneno kama ‘wagombea wengine wanashauri tuongeze ndege (ndege zilizopo zimetunufaisha nini?)’. Yani Mh tembea kwenye uongo wa jamaa huyu. Utazidi kutupata.

#NiYeye2020 #KuraKwaLissuKulaKwaMataga
 
hakuna mstaafu aliebaki na malalamiko hajalipwa, leten uongo mwingine
Wewe ni mpumbavu mpumbavu mpumbavu. Jana nimetoka kutuma pesa kwa baba wa mfanyakazi wangu aliyestaafu 2018,wewe unaleta mavi yako hapa.
Na ulaaniwe. Hivi nyinyi ni binadamu au mashetani? Watu wanahangaika kutafuta haki zao,wewe unasema hakuna ambaye hajalipwa!!
Mudak.
 
maduka gani yamekosa wateja, kkoo nakwenda kila siku ndio kwanza watu wamejaa mpaka usalama uko mashakani.

huku mtaani watu wanajenga fremu kila siku na zinapata wapangaji, boda boda zinabeba watu kila siku mbali na kwamba zinaongezeka kununuliwa.

anakuja mbuzi kuandika mapovu humu, kisa tu ana ndoto za bwana ake kwenda ikulu.
Unataka kulazimisha maji kupanda mlima hali n mbaya acha mizaa
 
Magufuli ni mshamba wa ndege.

Na mshamba tabia yake ni kulimbuka.

Analimbuka na ndege.Ukiyliza tender huwezi kuipata. Ukiuliza ROI imekaaje? Huwezi kuelezwa.

Magufuli is a country bumpkin.
 
Watanzania wanataka ;-
  • Hali bora za maisha.
  • Ajira
  • Biashara zao zifufuke na kukua
  • Mzunguko wa fedha uwe mzuri
  • Uhuru na haki vitamalaki.

Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)

View attachment 1552612
Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
View attachment 1552610

Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.

Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.

Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
Anajua atashinda kwa kutumia vyombo vya dola ndio maana ana kibri
 
Kiitikio: Tumeibiwa kura[emoji3][emoji3]

Piga verse mwana
Pole sn msukule wa lumumba....

Naona jamaa kutokana na ushamba na ulimbukeni kila siku anaota ndege.....
Nyuma yake kuna upigaji ambao haijawahi kutokea tangia Tupate Uhuru wa bendera....

Tundu Lissu anatufaa sana...
 
Back
Top Bottom