Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

Serikali huandaa environment watu wafanye biashara full stop
Nami nalifahamu hili. Lkn serikali hii imeshindwa vibaya ktk hili na ndiyo maana watu wanalalamika Sana.
 
Back
Top Bottom