guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Ahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...umetoka kupumuliwa kisogoni bila KY hasira za kuchubuliwa unaniletea mimi!? hukumsikiliza kwamba wafanyabiashara wako na kodi 15 akiingia atazivuta ili bidhaa kutoka nje ziingie bure zifurike watu wasiende kununua Uganda, kwani tunachagua afisa masoko wa mabeberu? katumwa kuja kutafuta soko la bidhaa za viwanda vya mabwana zake? bila kodi hayo anayojinasibu kuyafanya atayafanya vipi? ATATUUZA HUYO.We ng'ombe Rais Lissu kasema wapi kwamba hatakusanya kodi?
Misukule ya lumumba hamna akili kabisa.
Pole sn msukule wa lumumba....Kiitikio: Tumeibiwa kura[emoji3][emoji3]
Piga verse mwana
Anatufaa mno mno mno mno ×100000000000000000Tundu Lissu anatufaa sana..
Kabisaaa...... Naomhezea sifuri zingine 5 🤣🤣Anatufaa mno mno mno mno ×100000000000000000
Uandishi wenyewe sifuri...... Shule za kata cjui zimefungwa ln mpaka wameingia vidudu jfHahaha...umetoka kupumuliwa kisogoni bila KY hasira za kuchubuliwa unaniletea mimi!? hukumsikiliza kwamba wafanyabiashara wako na kodi 15 akiingia atazivuta ili bidhaa kutoka nje ziingie bure zifurike watu wasiende kununua Uganda, kwani tunachagua afisa masoko wa mabeberu? katumwa kuja kutafuta soko la bidhaa za viwanda vya mabwana zake? bila kodi hayo anayojinasibu kuyafanya atayafanya vipi? ATATUUZA HUYO.
Wewe ni mpumbavu mpumbavu mpumbavu. Jana nimetoka kutuma pesa kwa baba wa mfanyakazi wangu aliyestaafu 2018,wewe unaleta mavi yako hapa.
Na ulaaniwe. Hivi nyinyi ni binadamu au mashetani? Watu wanahangaika kutafuta haki zao,wewe unasema hakuna ambaye hajalipwa!!
Mudak.
Sasa kinachoimbwa kila siku ni nini we Mataga? Watu hawalipwi stahiki zao kwa wakati. Wazee kibao mpaka wanapata stroke kufukuzia mafao yao. Hapa tu Mzee wangu kafukuzia mafao mwaka wa 12 sasa patupu.. story tu kila siku. Serikali hii Mungu atawalaani.
Hafai huyu tunamtaka raisi anayefuata katiba na sheria za nchiWatanzania wanataka ;-
- Hali bora za maisha.
- Ajira
- Biashara zao zifufuke na kukua
- Mzunguko wa fedha uwe mzuri
- Uhuru na haki vitamalaki.
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)
View attachment 1552612
Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
View attachment 1552610
Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.
Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.
Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
Kiukweli hatuhitaji ndege kwa sasa.Tulizo nazo zinatosha.Na haya ni maoni ya watanzania wengi.Tunatakiwa kuwekeza katika maendeleo ya watu kwa sasa na sio katika maendeleo ya vitu
Watu wanataka mazingira mazuri ya kufanya ujasiriamali hawataki ndege kwa sasa.Are we togather??hayo maendeleo ya watu yanakujaje bila vitu? utawapa pesa ama?
Huyu John hapendwi anachinjiliwa mbali uchaguzi huu. Hatakiwi ndiyo maana hata watu anawakusanya kwa lazima.
View attachment 1552626
Tsh ipi unayoongelea wewe hapo mkuu?
Watu wanataka mazingira mazuri ya kufanya ujasiriamali hawataki ndege kwa sasa.Are we togather??
ACHANA NA HAYO MAWAZO YA MGANDO NANI KAKWAMBIA WANANCHI NI NYINYI TU MUNAOSHINDA MITANDAONI AU UNAZANI HIYO PESA SERIKALI ITAKUWEKEA mfukoni mwakoWatanzania wanataka ;-
- Hali bora za maisha.
- Ajira
- Biashara zao zifufuke na kukua
- Mzunguko wa fedha uwe mzuri
- Uhuru na haki vitamalaki.
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)
View attachment 1552612
Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
View attachment 1552610
Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.
Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.
Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
Watanzania wanataka ;-

Wewe unajua unachokisema kweli au ndio madhara ya viroba.hakuna mstaafu aliebaki na malalamiko hajalipwa, leten uongo mwingine