Huku tukijivunia ndege zetu, wanafunzi 52,000 hawana madarasa ya kusomea

Swali duni sana ! kwanini usimuulize mnunua ndege ?
Kumbe uko lindo. Nakupa tafu leo..Ha ha ha aa!
===
Mkuu wapangeni vijana wenu sawa sawa, wanaleta hoja za kudhalilisha " chama cha akili kubwa" Ajibu hayo maswali tuone ukubwa wake wa 'akili' maana ndiyo kauli zenu hizo.Ha ha haa!
 
mleta mada hana muda na ushenzi huu

kaamua kupeleka watoto wake shule ya private wakapate kilicho bora zaidi

Hizi shule kawaachia watoto wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa umeiandika kiumbea umbea sana, ndege lazima zinunuliwe na SGR inajengwa na mambo mengine yanafanyika na yataendelea kufanyika vilevile
 
CCM hawawezi penda watoto wasome make ili kuwatawala watu vyena na kuwaletaa sukari na vipande vya kanga wakati wa chaguzi ni lazima hao watu wasowe na elimu.

Ni msomi yupi anaweza kubali Tshirt au sukari au chumvi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali gani la kijinga hili? Hao watoto wazazi wao si wanalipa kodi? Mbona pesa za kununulia ndege hazijawahi kosekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah very sad, kwa akili hizi sidhani kama tutafika!
 
Muachege ujinga!! Wewe ulitoa mchango gani kwenye ununuzi wa ndege kijinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wametoa mchango mkubwa sana kwa ujenzi wa madarasa, mahabara na hata miundombinu kama vyoo, madawati, visima vya maji, nyumba za watumishi nk. Tena wakati mwingine kwa ubabe na lazima ingawa na kodi wanalipa kila kukicha. Uwekezaji wa awamu hii una ukakasi kiasi ndani yake, imeandikwa kuwa rasilimali muhimu kabisa kwa maendeleo ni watu na si vinginevyo, kinachotakiwa ni kuwajengea uwezo na kuwawezesha.
 
Waafrika nyie ni Nyani bado mko kwenye process ya evolution ya kuwa binadamu kamili.

Na mna miaka Kama 5000 mkamilishe cycle ndio muwe Kama wale wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo inamaanisha kuwa wazungu wameshafikia mwisho wa revolution.......!? Kama tupo 5000 years back kama unavyidai basi itaendelea kuwa hivyo hivyo milele....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…