Huku tukijivunia ndege zetu, wanafunzi 52,000 hawana madarasa ya kusomea

Huku tukijivunia ndege zetu, wanafunzi 52,000 hawana madarasa ya kusomea

Leo nimeshuhudia shule moja ya sekondari Imepewa wanafunzi 140 wa kidato cha kwanza lkn mpaka leo hii nnavyoongea ni wanafunzi 10 tu ndio waliosajiriwa,,,na wameambiwa kwenye joining kwamba waje na madawati lkn wanafunzi wanakuja watupu illi kujaribu kuwasaidia wanawapa mbao wanazipanga juu ya tofali wanakalia,,,wazazi wanalia wanasema hawawezi kupeleka watoto shule kwamba hali ni ngumu sana familia zao zinashinda njaa kwhy ukiwambia wanunue dawati ndo hawaelewi wapi waponee maana hali ni ngumu sana kwao,,,,,,lkn maajabu kata hii ninayowasimulia ni wana ccm kindaki ndaki.
Waambia nendeni kwa pole pole au ndugai mkachukue posho
 
Hili tatizo linajitokeza kwa kuwa Serikali inashindana na Sekta binafsi badala ya kushirikiana. Hizi kauli za waliosoma shule za binafsi kunyimwa mikopo ndizo zinafanya baadhi na miundo mbinu ya sekta binafsi kuwa tupu huku watoto wakijazana shule za Serikali.

Kama ni vipi Serikali ifuate utaratibu ule ule wa kugharamia hospitali za binafsi DDH kwa kupeleka ruzuku na kuwapanga wanafunzi kwenye shule zisizo na wanafunzi wa kutosha ila miundo mbinu ya kufundishia ipo
Lengo la Magufuli kwenye kauli hii ilikuwa ni kuwaogopesha watanzania wasipeleke watoto wao kwenye private school ambapo angalau kuna elimu Bora ili wote wote tupate hii elimu mbovu ya bure anayoitoa ili kutengeneza taifa la watu mbumbumbu wasioweza kumhoji chochote.Kumbuka huyu jamaa priority yake ni madaraka yake na si maendeleo ya nchi yetu,hivyo ataharibu mpango wowote unaoweza kuwaamusha watanzania toka usingizini
 
Back
Top Bottom