The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Hivi Ule mkakati wa kutengeneza madawati wa 2016 uliishia wapi.....!? Au hawakutua kuwa hilo zoezi linatakiwa kuwa endekevu na siyo zima moto...!!?

amna upande kwenye vitu vya masilai ya taifa upande unao weww ambaye unaendekeza mahaba kwenye ukweliInategemea umesimama upande gani kuliangalia swali hilo ili ubaini ni hovyo ama la!
acha mahaba shida sio ndege wala reli sheedah ni balance ya ufanyaji wa hayo mbona lipo wazi jiulize ni kwa nini mtu akipata pesa angalau anampeleka mtoto shule binafsi ACHA MAHABA ifike mahali kwenye ukweli tuungane na uongo tuungane kuupingaHii taarifa umeiandika kiumbea umbea sana, ndege lazima zinunuliwe na SGR inajengwa na mambo mengine yanafanyika na yataendelea kufanyika vilevile
Tatolizo hapa ninaliliona ni wizara ya elimu,Yule mama Prof ndalichako hajaweza kutumia elimu take kunisaidia elimu ya Tanzania,na hata hajaweza kumsaidia mh Rais kwenye sekta ya elimu. Wanafunzi 52,000 wanakuja kukosa madarasa wakati wamechaguliwa,wizara haikuweza kufanya projection kabla ya watoto kuchaguliwa ili waanze kujenga madarasa kabla? Automatically Kama watoto 52,000 wamekosa madarasa, tayari watoto hao hawana madawati,hawana viti,hawana vitabu,hawana vyoo vya kuwatosha,hawana maabara,hawana library,hawana mabweni,hawana vitanda,hawana walimu je amejipangaje kwa hayo yote? Prof ndalichako viatu ulivyopewa na Mh Rais sio saizi yako unamwangusha usiku na mchana,jifunze kwa waziri ummy mwalimu alivyo boresha sekta ya afya.Prof ndalichako jitadhimini utendaji wako.Hali ya sekta ye elimu sio nzuri hata kidogo.jiulize kila Halmashauri unao maafisaelimu wawili wawili (elimu msingi na elimu sekondari) Ila Mambo hayaende na wanalipwa mishahara mikubwa bila hata wewe kujua malipo yao,wizara ya afya kila Halmashauri Ina mkuumomja wa idara ya afya Mambo yanaenda vizuri jiulize.muundo na mfumo wa elimu ya msingi na sekondari ni mbovu,haifai,ni wa kufanyiwa marekebisho makubwa.kila Halmashauri inatakiwa uwe na bosi au mkuu mmoja anayehusika na elimu ya msingi na sekondari na mwenye qualifications na uzoefu mzuri.mchezo unaofanyika Sasa afisaelimu msingi wafaulisha watoto anampeleke afisaelimu sekondari ,wakati huo huo afisaelimu sekondari jana taarifa na wanaoletwa sekondari na Hana kumbukumbu za idadi ya walioko msingi kabla ya kumaliza darasa la Saba na kufaulu.mwisho afisaelimu sekondari anakuja kutaaruki idadi ni kubwa mwisho na Hana miundombinu yeyote na muda umemalizika wanafunzi wahitaji huduma na Hana Wala hakufanya projection ya mwaka unaofuata.hivyo ni muhimu afisaelimu see mmoja ili kuunganisha mfumo na mawasiliano.mfumo ulipo na inayotumika sio rafiki kwa walimu,wanafunzi na miundombinu ndani ya Halmashauri moja.Ndani ya Halmashauri moja mkurugenzi ni mmoja,walimu Wana mabosi wawili ndani ya Halmashauri moja yenye mkurugenzi moja,maelekezo pia yanatofautiana kuwafikia walimu.Habari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.
Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.
Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?
Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.
Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?
Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?
Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.
Maendeleo bila uhuru ni utumwa
Chanzo cha habari: Azam TV
Hii ni kaz ya serikal unatak achangie nn sasa ? Yeye ashachangia kodiWewe kama mtanzania(mleta mada) unayeguswa na uhaba huu wa madarasa, umetoa mchango gani wa kuhakikisha tatizo hili linatoweka, zaidi ya kuleta uzi kwa kebei juu ya tatizo hili hapa jamvini!?
Kwa hali ya sasa nini kifanyike kuondoa tatizo hili!? Maana umemaliza post yako ya kwanza ya huu kwa malalamiko tu!
Umeonesha umbumbumbu wa mwendokas ya SGRWewe kama mtanzania(mleta mada) unayeguswa na uhaba huu wa madarasa, umetoa mchango gani wa kuhakikisha tatizo hili linatoweka, zaidi ya kuleta uzi kwa kebei juu ya tatizo hili hapa jamvini!?
Kwa hali ya sasa nini kifanyike kuondoa tatizo hili!? Maana umemaliza post yako ya kwanza ya huu kwa malalamiko tu!
Hii taarifa umeiandika kiumbea umbea sana, ndege lazima zinunuliwe na SGR inajengwa na mambo mengine yanafanyika na yataendelea kufanyika vilevile
si ni ametoa/Amelipa/Analipa/Atalipa kodi...Wewe kama mtanzania(mleta mada) unayeguswa na uhaba huu wa madarasa, umetoa mchango gani wa kuhakikisha tatizo hili linatoweka, zaidi ya kuleta uzi kwa kebei juu ya tatizo hili hapa jamvini!?
Kwa hali ya sasa nini kifanyike kuondoa tatizo hili!? Maana umemaliza post yako ya kwanza ya huu kwa malalamiko tu!
Hili tatizo linajitokeza kwa kuwa Serikali inashindana na Sekta binafsi badala ya kushirikiana. Hizi kauli za waliosoma shule za binafsi kunyimwa mikopo ndizo zinafanya baadhi na miundo mbinu ya sekta binafsi kuwa tupu huku watoto wakijazana shule za Serikali.Habari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.
Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.
Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?
Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.
Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?
Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?
Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.
Maendeleo bila uhuru ni utumwa
Chanzo cha habari: Azam TV
Pitia hesabu zako kuhusu wanafunzi 500 na madrasa 20Habari za kutwa wanajamvi,

sawa! Tunasubiri umbimbi wakoUmeonesha umbumbumbu wa mwendokas ya SGR
Siyo elimu tu afya nako hali ni tete. Wazee kinamama wajawazito ambao kisera wanatakiwa wapate huduma bure wote wanatakiwa kulipia dawa na huduma zingine. Huwezi utajiju sisi tunasonga mbele na SGR, ndege, nadaraja ya flyover, umeme n.k. Haya ndiyo tuayotakaHabari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.
Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.
Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?
Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.
Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?
Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?
Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.
Maendeleo bila uhuru ni utumwa
Chanzo cha habari: Azam TV
Kwa hiyo haumini kuboresha na kujenga mindombinu mipya ni moja ya mkakati wa kuwajengea uwezo na kuwawezesha wananchi!? Kazi ipo kweli ya kuwawezesha watu kufikiri kwa mapana......kinachotakiwa ni kuwajengea uwezo na kuwawezesha
Karibu Mkuu kwenye mada. Ha ha haaa!Muachege ujinga!! Wewe ulitoa mchango gani kwenye ununuzi wa ndege kijinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta mbadala wa 'akili' unazodhani zitatufikisha. Manung'uniko bila dira hayajengi.Dah very sad, kwa akili hizi sidhani kama tutafika!
Leta maswali ya kiuelevu sasa ili tujenge nchi.Swali gani la kijinga hili? Hao watoto wazazi wao si wanalipa kodi? Mbona pesa za kununulia ndege hazijawahi kosekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa kama kafanya hivyo mpe hongera...ila asilazimishe mtoto wake kuruka darasa kwa visingizio vya aina yoyote.kaamua kupeleka watoto wake shule ya private wakapate kilicho bora zaidi
Mkuu kuna stage tunaziruka, huwezi kuacha watoto katika mazingira duni ya kusomea kama yale then unasema unawawezesha kwa kununua ndege. Huwezi kuwatelekeza wakulima na wafugaji kiasi kile ukasema unawajengea uwezo kwa ndege na SGR. Chukua muda wako kidogo upitie hizi terms mbili kwa ufupi tu 1. Economic growth 2. Economic development.Kwa hiyo haumini kuboresha na kujenga mindombinu mipya ni moja ya mkakati wa kuwajengea uwezo na kuwawezesha wananchi!? Kazi ipo kweli ya kuwawezesha watu kufikiri kwa mapana.