Huku tukijivunia ndege zetu, wanafunzi 52,000 hawana madarasa ya kusomea

Bwana wee mbona unakurupuka kujibu hoja?
Hivi umeelewa hoja iliyoko kwenye mada? Hapa tunazungumzia WANAFUNZI 52,000 kukosa vyumba vya madarasa na siyo 52,000 kama idadi ya vyumba...!!Watu huwa mnafeli hata mitihani vivi hivi. Soma swali, elewa na ndipo ujibu! Acha kukurupuka!!
Kumradhi! Kwa kukurupuka. Tuendelee na mada.
 
Habari za kutwa wanajamvi,

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.

Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.

Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.

Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?

Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.

Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?

Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?

Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.

Maendeleo bila uhuru ni utumwa

Chanzo cha habari: Azam TV

Mimi nakubali ndege. Mnataka wanafunzi wapate mkopo Kwa pesa zipi. Wewe unaeandika hapa unalipa kodi kiasi gani. Don't tell me payee. Nazungumzia Tax returns.
Ndege ni kitegea uchumu, ambacho kitaingizia Taifa pesa in long run. Na pesa hizo zitatumika kutoa mkopo.
Mimi nasema ninyi walalamikaji badala ya kubeza toeni maoni na ushahuri. Vinywa vyenu vinatengeneza laana xinazowatesa.
Hao watoto waliokosa mikopo je walitimiza vigezo? Au ndio hao hao watoto wenu mnaowalea.

Baba zenu ndugu zenu huko kwenye maofisi kutwa kuhujumu mapato ya Serikali...halafu mnakesha kubeza na kulahumu.

Tatizo ni lenu watanzania.
 
Hakuna chakufanya zaidi ya serikali kuu kuzirudishia halmashauri kodi zao,ili ziweze kujiendesha katika mambo kama hayo
Wewe kama mtanzania(mleta mada) unayeguswa na uhaba huu wa madarasa, umetoa mchango gani wa kuhakikisha tatizo hili linatoweka, zaidi ya kuleta uzi kwa kebei juu ya tatizo hili hapa jamvini!?
Kwa hali ya sasa nini kifanyike kuondoa tatizo hili!? Maana umemaliza post yako ya kwanza ya huu uzi kwa malalamiko tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekihama chama cha mapinduzi, kodi ninalipa ila kiasi gani ninalipa haikuhusu.
So shut up.you have no right to say.
Nenda kafanye ushabiki wa Vyama. Usichanganye na maslahi ya nchi.
 
Tutakaa Sawa tu

Ngoja kWanza
 
Habari za kutwa wanajamvi,

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.

Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.

Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.

Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?

Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.

Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?

Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?

Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.

Maendeleo bila uhuru ni utumwa

Chanzo cha habari: Azam TV

Umeamka kabisa na hoja hii. Kweli Tz. Mmelogwa. Nilijua kwanza ungepongeza kuwa utoaji wa Elimu bure umeongeaza idadi ya wanafunzi. Na hizo Ni changamoto haziwezi kufanya mambo na mipango ya maendeleo ya muda mrefu kusimama. Kama unahisi Wewe ni Mchumi sana. Just panga maisha ya familia yako vizuri.
 
downloadfile-2.jpg

Ukweli daima
 
Habari za kutwa wanajamvi,

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.

Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.

Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.

Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?

Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.

Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?

Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?

Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.

Maendeleo bila uhuru ni utumwa

Chanzo cha habari: Azam TV
Ukosoaji wa sampuli hii huwa ni wa watu wenye CHUKI na mwenye chuki hawezi kuwa FAIR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu punguza ukasuku yaani kwaakili yako unaamini kabisa kwamba ndege ni biashara ikiwa wenye akili wanatangaza hasara kila mwaka duh!
Mimi nakubali ndege. Mnataka wanafunzi wapate mkopo Kwa pesa zipi. Wewe unaeandika hapa unalipa kodi kiasi gani. Don't tell me payee. Nazungumzia Tax returns.
Ndege ni kitegea uchumu, ambacho kitaingizia Taifa pesa in long run. Na pesa hizo zitatumika kutoa mkopo.
Mimi nasema ninyi walalamikaji badala ya kubeza toeni maoni na ushahuri. Vinywa vyenu vinatengeneza laana xinazowatesa.
Hao watoto waliokosa mikopo je walitimiza vigezo? Au ndio hao hao watoto wenu mnaowalea.

Baba zenu ndugu zenu huko kwenye maofisi kutwa kuhujumu mapato ya Serikali...halafu mnakesha kubeza na kulahumu.

Tatizo ni lenu watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So shut up.you have no right to say.
Nenda kafanye ushabiki wa Vyama. Usichanganye na maslahi ya nchi.
acha mikwara wewe? ati maslahi ya nchi ya kuwatia watu hofu kwa kuwateka na kuwaqbambikia kesi za utakatishaji pesa? unamkamata mtu kama unamteka unamficha watu wakipiga kelele unampa UHUJUMU UCHUMI? ndo maslahi ya taifa hayo?
unawaita watengeneza ndege unakaa nao ikulu ndani kisha unaagiza ndege uipendayo bila kufuata hata sheria ya manunuzi ndiyo maslahi ya taifa hayo?
 
Halafu unamjazia mwalimu hayo matoto huku umemkandamoza maslahi yake ya mshahara,ongezeko,malimbikizo,kupanda daraja n.k.What do you expect?

Wangejua walimu walivyokata tamaa na vile hawahangaiki na hayo matoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakubali ndege. Mnataka wanafunzi wapate mkopo Kwa pesa zipi. Wewe unaeandika hapa unalipa kodi kiasi gani. Don't tell me payee. Nazungumzia Tax returns.
Ndege ni kitegea uchumu, ambacho kitaingizia Taifa pesa in long run. Na pesa hizo zitatumika kutoa mkopo.
Mimi nasema ninyi walalamikaji badala ya kubeza toeni maoni na ushahuri. Vinywa vyenu vinatengeneza laana xinazowatesa.
Hao watoto waliokosa mikopo je walitimiza vigezo? Au ndio hao hao watoto wenu mnaowalea.

Baba zenu ndugu zenu huko kwenye maofisi kutwa kuhujumu mapato ya Serikali...halafu mnakesha kubeza na kulahumu.

Tatizo ni lenu watanzania.
wewe ni mbumbumbu huna ulijualo.... nilikopeshwa na serikali makubaliano yetu yalikuwa kukatwa 8% ameingia huyu raisi anayejiita kichaakichaa amepandisha sasa nakatwa 15% bila kuongeza hata mia kwenye mishahara unataka nitoe solution gani hapo.
unasema ndege ni asset/ source of income baadae unajua mashirika makubwa ya ndege yamepata hasara kiasi gani kwa miezi 18 ilopita?
acha uzalendo wa kuvaa SCARF NA VIKAUNDA SUTI WEWE
 
Habari za kutwa wanajamvi,

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.

Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.

Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.

Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?

Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.

Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?

Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?

Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.

Maendeleo bila uhuru ni utumwa

Chanzo cha habari: Azam TV
Mkuu kwanza hakuna Elimu bure,ni kupotosha.
Kodi yetu ndio inatoa fungu hilo.Na shule bora zinaendeshwa na taasisi binafsi wanatoza karo kubwa,na pengine hawana mtoto kwenye shule za serikali lakini ndio walipaji wa fedha katika shule za serikali.
Wewe uzae watoto kumi mimi nikusomeshee watoto wako kupitia kodi sio haki.Ni kinyume cha siasa ya ujamaa na kujitegemea.Jibu ni UMATI kila mtu abebe mzigo wake.
 
Leo nimeshuhudia shule moja ya sekondari Imepewa wanafunzi 140 wa kidato cha kwanza lkn mpaka leo hii nnavyoongea ni wanafunzi 10 tu ndio waliosajiriwa,,,na wameambiwa kwenye joining kwamba waje na madawati lkn wanafunzi wanakuja watupu illi kujaribu kuwasaidia wanawapa mbao wanazipanga juu ya tofali wanakalia,,,wazazi wanalia wanasema hawawezi kupeleka watoto shule kwamba hali ni ngumu sana familia zao zinashinda njaa kwhy ukiwambia wanunue dawati ndo hawaelewi wapi waponee maana hali ni ngumu sana kwao,,,,,,lkn maajabu kata hii ninayowasimulia ni wana ccm kindaki ndaki.
 
Back
Top Bottom