TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Kumradhi! Kwa kukurupuka. Tuendelee na mada.Bwana wee mbona unakurupuka kujibu hoja?
Hivi umeelewa hoja iliyoko kwenye mada? Hapa tunazungumzia WANAFUNZI 52,000 kukosa vyumba vya madarasa na siyo 52,000 kama idadi ya vyumba...!!Watu huwa mnafeli hata mitihani vivi hivi. Soma swali, elewa na ndipo ujibu! Acha kukurupuka!!
Umesikika!Tuuze midege tujenge MADARASA.
Habari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.
Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.
Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?
Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.
Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?
Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?
Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.
Maendeleo bila uhuru ni utumwa
Chanzo cha habari: Azam TV
Wewe kama mtanzania(mleta mada) unayeguswa na uhaba huu wa madarasa, umetoa mchango gani wa kuhakikisha tatizo hili linatoweka, zaidi ya kuleta uzi kwa kebei juu ya tatizo hili hapa jamvini!?
Kwa hali ya sasa nini kifanyike kuondoa tatizo hili!? Maana umemaliza post yako ya kwanza ya huu uzi kwa malalamiko tu!
Nimekihama chama cha mapinduzi, kodi ninalipa ila kiasi gani ninalipa haikuhusu.Wewe umechukua hatua gani kama Mwananchi
So shut up.you have no right to say.Nimekihama chama cha mapinduzi, kodi ninalipa ila kiasi gani ninalipa haikuhusu.
Habari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.
Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.
Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?
Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.
Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?
Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?
Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.
Maendeleo bila uhuru ni utumwa
Chanzo cha habari: Azam TV
Daima sitokaa kimyaSo shut up.you have no right to say.
Nenda kafanye ushabiki wa Vyama. Usichanganye na maslahi ya nchi.
Ukosoaji wa sampuli hii huwa ni wa watu wenye CHUKI na mwenye chuki hawezi kuwa FAIRHabari za kutwa wanajamvi,
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zatajwa kila siku kwamba uchumi wake unakua kwa kasi. Inatajwa kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kupambana na rushwa.
Wakati nchi yetu kupitia kwa wapiga zumari wa mkuu wakijitapa nchi kupiga hatua za maendeleo ikiwemo kununua mindege, kujenga mireli (SGR), kujenga ukuta, vita ya rushwa na elimu bure, hali imekuwa mbaya zaidi katika sekta ya elimu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Elimu TAMISEMI kuna zaidi ya wanafunzi 52,000 nchini pote wamechaguliwa bila kupangiwa shule za kujiunga nazo.
Amesema kukabiliana na tatizo hilo wanaleta mfumo wa double shift kama njia ya zimamoto ya kuondokana na hilo. Hali ni mbaya zaidi mkoani Kigoma.
Aidha imeripotiwa kwamba Shule ya Msingi Nzasa huko Mbagala ina wanafunzi zaidi ya 500 na ina vyumba vya madarasa 22 tu. Hapa ni Nzasa Dar es Salaam sijui huko Nachingwea hali ipoje?
Huku haya yakiendelea Mkurugenzi yule wa Elimu amesema Halmashauri zijenge madarasa kwa mapato ya ndani, alisahau kwamba vyanzo vya mapato ya Halmashauri vimechukuliwa na mchumi mkuu wa taifa na sasa Halmashauri ni vibogoyo, haziwezi kujiendesha.
Wadau wa elimu wanahoji je kati ya maendeleo ya ndege na madarasa ya watoto wa masikini ambao kila siku wanaimbwa majukwaani na ambao wazazi wao hawajui hata njia za kwenda airport kipi kitangulie?
Je, ni kweli elimu bure tu inatosha bila kuboresha miundombinu yake?
Maendeleo ya kweli huwalenga walio wengi, sio ndege, hata mkoloni alileta ndege lakini wengi waliishi kwenye umasikini uliotopea.
Maendeleo bila uhuru ni utumwa
Chanzo cha habari: Azam TV
Mimi nakubali ndege. Mnataka wanafunzi wapate mkopo Kwa pesa zipi. Wewe unaeandika hapa unalipa kodi kiasi gani. Don't tell me payee. Nazungumzia Tax returns.
Ndege ni kitegea uchumu, ambacho kitaingizia Taifa pesa in long run. Na pesa hizo zitatumika kutoa mkopo.
Mimi nasema ninyi walalamikaji badala ya kubeza toeni maoni na ushahuri. Vinywa vyenu vinatengeneza laana xinazowatesa.
Hao watoto waliokosa mikopo je walitimiza vigezo? Au ndio hao hao watoto wenu mnaowalea.
Baba zenu ndugu zenu huko kwenye maofisi kutwa kuhujumu mapato ya Serikali...halafu mnakesha kubeza na kulahumu.
Tatizo ni lenu watanzania.
So shut up.you have no right to say.
Nenda kafanye ushabiki wa Vyama. Usichanganye na maslahi ya nchi.
nani kamkosoa nani kwenye nni?Ukosoaji wa sampuli hii huwa ni wa watu wenye CHUKI na mwenye chuki hawezi kuwa FAIR
Sent using Jamii Forums mobile app
acha mikwara wewe? ati maslahi ya nchi ya kuwatia watu hofu kwa kuwateka na kuwaqbambikia kesi za utakatishaji pesa? unamkamata mtu kama unamteka unamficha watu wakipiga kelele unampa UHUJUMU UCHUMI? ndo maslahi ya taifa hayo?So shut up.you have no right to say.
Nenda kafanye ushabiki wa Vyama. Usichanganye na maslahi ya nchi.
wewe ni mbumbumbu huna ulijualo.... nilikopeshwa na serikali makubaliano yetu yalikuwa kukatwa 8% ameingia huyu raisi anayejiita kichaakichaa amepandisha sasa nakatwa 15% bila kuongeza hata mia kwenye mishahara unataka nitoe solution gani hapo.Mimi nakubali ndege. Mnataka wanafunzi wapate mkopo Kwa pesa zipi. Wewe unaeandika hapa unalipa kodi kiasi gani. Don't tell me payee. Nazungumzia Tax returns.
Ndege ni kitegea uchumu, ambacho kitaingizia Taifa pesa in long run. Na pesa hizo zitatumika kutoa mkopo.
Mimi nasema ninyi walalamikaji badala ya kubeza toeni maoni na ushahuri. Vinywa vyenu vinatengeneza laana xinazowatesa.
Hao watoto waliokosa mikopo je walitimiza vigezo? Au ndio hao hao watoto wenu mnaowalea.
Baba zenu ndugu zenu huko kwenye maofisi kutwa kuhujumu mapato ya Serikali...halafu mnakesha kubeza na kulahumu.
Tatizo ni lenu watanzania.
Mkuu kwanza hakuna Elimu bure,ni kupotosha.Habari za kutwa wanajamvi,