Huku tukijivunia ndege zetu, wanafunzi 52,000 hawana madarasa ya kusomea

Waambia nendeni kwa pole pole au ndugai mkachukue posho
 
Lengo la Magufuli kwenye kauli hii ilikuwa ni kuwaogopesha watanzania wasipeleke watoto wao kwenye private school ambapo angalau kuna elimu Bora ili wote wote tupate hii elimu mbovu ya bure anayoitoa ili kutengeneza taifa la watu mbumbumbu wasioweza kumhoji chochote.Kumbuka huyu jamaa priority yake ni madaraka yake na si maendeleo ya nchi yetu,hivyo ataharibu mpango wowote unaoweza kuwaamusha watanzania toka usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…