Tetesi: Huku wachina kule mvua, njaa na maradhi vinatuua watanzania

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa hapa Tanzania na miradi hiyo ikiwa chini ya wachina basi inasadikika jamaa hawa kutoka Asia wameamua kufanya yao ili wasisumbuke na ujenzi.

Nimejikuta najiuliza mengi na nikajiuliza sasa maisha yetu yanakwenda kuwaje. Joto limezidi kila kona, ardhi imekauka na mazao yamekaukia mashambani. Kwingineko magonjwa pia yamechachamaa mno kwasababu miili imechemka kupita kiasi

Kama hii kweli ni wachina ndo wanahusika basi hawa watu watatuletea majanga makubwa. Wanatakiwa kujua kwamba nchi yetu iko katika ukanda wa joto kali la tropic ambako kwa kiasi kikubwa kutofautiana na ile ya china, kama kwao wanafanya hivyo ni sawa lakini kwa Tz si sehemu sahihi kwani kijiografia tayari sie tuko kwenye tanuru na hatuitaji tena kuchochewa kuni na mkaa

Tuiombee nchi yetu watanzania, asubuhi njema!
 
Siwapendi wachina ila kwa hili sikubaliani na mtoa hoja. Global warming imeletwa siyo tu china bali nchi zote zenye viwanda na kutumia carbon kwa wingi. Hata sisi tuache kukata miti gas isambazwe kila kijiji na watupe msaada wa kulipia kidogo kidogo ili tuache kutumia mkaa.
 
Tumeshachanganyikiwa kwenye vipaumbele cha kwanza kimefanywa cha mwisho na cha mwisho kuwa cha kwanza.
 
Tatizo ni kutokua na mpangilio wa mini. Mimi mikubwa kama London, Amsterdam, Berlin ina bustani na miti katikati ya miji. Sisi sehemu za bustan na viwanja vya wazi viliuzwa sasa ni majengo.
Hata nchi zinazoendelea kama myanmar wana miti kama nini na huruhusiwi kukata mti hata kama ni wa kwako inabidi kibali. Huku kwetu miti tuliyokuwa nayo toka Moro hadi Dodoama ilishatoweka. Watu wameanza Pine ambayo imeharibu ardhi sana hata siwezi sema.
 
Waliwekeza kwenye nishati kwanza. Umasikini unachangia ukataji miti tupate kuni na mkaa.
Gesi ingekuwa nishati kuu tungeokoa sana miti.
 
Hata nchi zinazoendelea kama myanmar wana miti kama nini na huruhusiwi kukata mti hata kama ni wa kwako inabidi kibali. Huku kwetu miti tuliyokuwa nayo toka Moro hadi Dodoama ilishatoweka. Watu wameanza Pine ambayo imeharibu ardhi sana hata siwezi sema.
Na nasikia hii pines ni hatari sana kwa mvua
 
Sasa wewe mradi wa miaka mitano unamwambia mtu aukabidhi kwa miezi 18 unategemea Nini? Sio wachina tu hata hao waturuki wanachofanya wakiona dalili za mvua tu wanapiga bomu la kusambaratisha mvua kazi inaendelea. Wanafukuzana na dedilaini ya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi make mda ni mfupi mno na hawataki kuharibu kazi
 
Sasa wewe mradi wa miaka mitano unamwambia mtu aukabidhi kwa miezi 18 unategemea Nini? Sio wachina tu hata hao waturuki wanachofanya wakiona dalili za mvua tu wanapiga bomu la kusambaratisha mvua kazi inaendelea. Wanafukuzana na dedilaini ya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na kule kaskazini mwa Kenya maeneo ya Turkana kuliko na njaa kali sana,kuna miradi ya Wachina inaendelea?Wamezuia mvua kiuchawi au kwa technolojia ya kupiga mabomu ili mvua isinyeshe?Kuna Waturuki na miradi yao ya ujenzi inaendelea huko ?Je,kimbunga Idia kilichopiga juzi kati huko Msumbji,Zimbabwe na Malawi ni kwa sababu hakuna miradi inayoendelea hivyo wawekezaji wamechawia na kupiga mabovu ili kuvutia mvua kunyesha iharibu miundo mbinu ili wapate "deals" za miradi?

Tatizo kubwa sasa hivi duniani ni uharibifu wa mazingira kwa njia mbalimbali hivyo kuna kitu kinaitwa "global warming" ambacho kinasumbua sana dunia kwa sasa.

Wewe uchawi wako unautumia kivipi mkuu?Kuloga majirani ili vigenge vyao vya nyanya visipate wateja au?Au jirani yako akimbiwe na mke ili ukashike uskani kwake?Au kuwatishia majirani unaweza kuwageuza kuwa chatu?Au ni chuma ulete ili ule kiulani?

Hahahahahaaa,tusipotoshane tafadhali,pia sikupotoshi.

Jiografia ya kule ni tofauti kabisa na huku, kule kuna asili ya jangwa na imekuwa climate ya pale over mostly
 
nlikuwa Morogoro llast week, kule juu Milimani MTC nikawa naskia vitu km risasi! Nikawauliza wenyeji nini hiki? Walinijibu huyo ni Mchina anatawanya mawingu ya Mvua!
Ndiyo mabest wetu maana West hawatuelewi tunavyominya demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom