Tetesi: Huku wachina kule mvua, njaa na maradhi vinatuua watanzania

Tetesi: Huku wachina kule mvua, njaa na maradhi vinatuua watanzania

Tena ubeberu wao ni mbaya zaidi ya mzungu. Mzungu anaogopa haki za binadamu hawa hawajali kitu hicho.
Bibi acha uongo basi, kuanzia lini wachina wakawa ni mabeberu?
Kama kweli ni mabeberu sasa kwa nini hawana mikia?
Hao mabeberu weupe mnawasingizia tu ila kiuhalisia hakuna mabeberu mabaya kama mabeberu meusi, yaani yana roho za chuki, choyo, hasadi, roho mbaya, wivu, visasi, dhuluma na kila aina ya uchafu ndani ya mioyo yao.

Maendeleo hayana chama
 
Umenishinda tabia mjukuu.
 
Hata mimi niliisikia hii kwamba wazuia ili wamalizie SGR pamoja na izo zenye round about hapo mkabala na jengo la watts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa hapa Tanzania na miradi hiyo ikiwa chini ya wachina basi inasadikika jamaa hawa kutoka Asia wameamua kufanya yao ili wasisumbuke na ujenzi.

Nimejikuta najiuliza mengi na nikajiuliza sasa maisha yetu yanakwenda kuwaje. Joto limezidi kila kona, ardhi imekauka na mazao yamekaukia mashambani. Kwingineko magonjwa pia yamechachamaa mno kwasababu miili imechemka kupita kiasi

Kama hii kweli ni wachina ndo wanahusika basi hawa watu watatuletea majanga makubwa. Wanatakiwa kujua kwamba nchi yetu iko katika ukanda wa joto kali la tropic ambako kwa kiasi kikubwa kutofautiana na ile ya china, kama kwao wanafanya hivyo ni sawa lakini kwa Tz si sehemu sahihi kwani kijiografia tayari sie tuko kwenye tanuru na hatuitaji tena kuchochewa kuni na mkaa

Tuiombee nchi yetu watanzania, asubuhi njema!
Wachina wanahusika pia na cyclones huko US, Indonesia, India, Mozambique, Malawi, Zimbabwe n.k.
Hii inaonyesha kuwa hawa jamaa ni tishio duniani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! stupid
 
Waliwekeza kwenye nishati kwanza. Umasikini unachangia ukataji miti tupate kuni na mkaa.
Gesi ingekuwa nishati kuu tungeokoa sana miti.
Gas imekuwa mali ya China ghafla, yale tuliyoaminishwa hapo mwanzo kuwa tutapata gas hadi kusambazwa majumbani ni hadithi za alfu lela ulela.

Nchi ina watu wenye uwezo duni wa kufikiri hii balaa.
 
Hivi na kule kaskazini mwa Kenya maeneo ya Turkana kuliko na njaa kali sana,kuna miradi ya Wachina inaendelea?Wamezuia mvua kiuchawi au kwa technolojia ya kupiga mabomu ili mvua isinyeshe?Kuna Waturuki na miradi yao ya ujenzi inaendelea huko ?Je,kimbunga Idia kilichopiga juzi kati huko Msumbji,Zimbabwe na Malawi ni kwa sababu hakuna miradi inayoendelea hivyo wawekezaji wamechawia na kupiga mabovu ili kuvutia mvua kunyesha iharibu miundo mbinu ili wapate "deals" za miradi?

Tatizo kubwa sasa hivi duniani ni uharibifu wa mazingira kwa njia mbalimbali hivyo kuna kitu kinaitwa "global warming" ambacho kinasumbua sana dunia kwa sasa.

Wewe uchawi wako unautumia kivipi mkuu?Kuloga majirani ili vigenge vyao vya nyanya visipate wateja au?Au jirani yako akimbiwe na mke ili ukashike uskani kwake?Au kuwatishia majirani unaweza kuwageuza kuwa chatu?Au ni chuma ulete ili ule kiulani?
Huko turkana si ndiyo kuna mafupa na kuna miradi inaendelea huko ya ujenzi
 
Bibi acha uongo basi, kuanzia lini wachina wakawa ni mabeberu?
Kama kweli ni mabeberu sasa kwa nini hawana mikia?
Hao mabeberu weupe mnawasingizia tu ila kiuhalisia hakuna mabeberu mabaya kama mabeberu meusi, yaani yana roho za chuki, choyo, hasadi, roho mbaya, wivu, visasi, dhuluma na kila aina ya uchafu ndani ya mioyo yao.

Maendeleo hayana chama
Nakazia hii comment iwekwe stick.
 
nlikuwa Morogoro llast week, kule juu Milimani MTC nikawa naskia vitu km risasi! Nikawauliza wenyeji nini hiki? Walinijibu huyo ni Mchina anatawanya mawingu ya Mvua!
Huo ndo uchawi wao, wao wana aina nyingi za kuwanga juu ya ardhi yetu
 
Back
Top Bottom