Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tena ubeberu wao ni mbaya zaidi ya mzungu. Mzungu anaogopa haki za binadamu hawa hawajali kitu hicho.Hawa siyo Mabeberu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ubeberu wao ni mbaya zaidi ya mzungu. Mzungu anaogopa haki za binadamu hawa hawajali kitu hicho.Hawa siyo Mabeberu?
Bibi acha uongo basi, kuanzia lini wachina wakawa ni mabeberu?Tena ubeberu wao ni mbaya zaidi ya mzungu. Mzungu anaogopa haki za binadamu hawa hawajali kitu hicho.
Hivi vijamaa ni vichawi sana
Umenishinda tabia mjukuu.Bibi acha uongo basi, kuanzia lini wachina wakawa ni mabeberu?
Kama kweli ni mabeberu sasa kwa nini hawana mikia?
Hao mabeberu weupe mnawasingizia tu ila kiuhalisia hakuna mabeberu mabaya kama mabeberu meusi, yaani yana roho za chuki, choyo, hasadi, roho mbaya, wivu, visasi, dhuluma na kila aina ya uchafu ndani ya mioyo yao.
Maendeleo hayana chama
Wachina wanahusika pia na cyclones huko US, Indonesia, India, Mozambique, Malawi, Zimbabwe n.k.Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa hapa Tanzania na miradi hiyo ikiwa chini ya wachina basi inasadikika jamaa hawa kutoka Asia wameamua kufanya yao ili wasisumbuke na ujenzi.
Nimejikuta najiuliza mengi na nikajiuliza sasa maisha yetu yanakwenda kuwaje. Joto limezidi kila kona, ardhi imekauka na mazao yamekaukia mashambani. Kwingineko magonjwa pia yamechachamaa mno kwasababu miili imechemka kupita kiasi
Kama hii kweli ni wachina ndo wanahusika basi hawa watu watatuletea majanga makubwa. Wanatakiwa kujua kwamba nchi yetu iko katika ukanda wa joto kali la tropic ambako kwa kiasi kikubwa kutofautiana na ile ya china, kama kwao wanafanya hivyo ni sawa lakini kwa Tz si sehemu sahihi kwani kijiografia tayari sie tuko kwenye tanuru na hatuitaji tena kuchochewa kuni na mkaa
Tuiombee nchi yetu watanzania, asubuhi njema!
Gas imekuwa mali ya China ghafla, yale tuliyoaminishwa hapo mwanzo kuwa tutapata gas hadi kusambazwa majumbani ni hadithi za alfu lela ulela.Waliwekeza kwenye nishati kwanza. Umasikini unachangia ukataji miti tupate kuni na mkaa.
Gesi ingekuwa nishati kuu tungeokoa sana miti.
Huko turkana si ndiyo kuna mafupa na kuna miradi inaendelea huko ya ujenziHivi na kule kaskazini mwa Kenya maeneo ya Turkana kuliko na njaa kali sana,kuna miradi ya Wachina inaendelea?Wamezuia mvua kiuchawi au kwa technolojia ya kupiga mabomu ili mvua isinyeshe?Kuna Waturuki na miradi yao ya ujenzi inaendelea huko ?Je,kimbunga Idia kilichopiga juzi kati huko Msumbji,Zimbabwe na Malawi ni kwa sababu hakuna miradi inayoendelea hivyo wawekezaji wamechawia na kupiga mabovu ili kuvutia mvua kunyesha iharibu miundo mbinu ili wapate "deals" za miradi?
Tatizo kubwa sasa hivi duniani ni uharibifu wa mazingira kwa njia mbalimbali hivyo kuna kitu kinaitwa "global warming" ambacho kinasumbua sana dunia kwa sasa.
Wewe uchawi wako unautumia kivipi mkuu?Kuloga majirani ili vigenge vyao vya nyanya visipate wateja au?Au jirani yako akimbiwe na mke ili ukashike uskani kwake?Au kuwatishia majirani unaweza kuwageuza kuwa chatu?Au ni chuma ulete ili ule kiulani?
Nakazia hii comment iwekwe stick.Bibi acha uongo basi, kuanzia lini wachina wakawa ni mabeberu?
Kama kweli ni mabeberu sasa kwa nini hawana mikia?
Hao mabeberu weupe mnawasingizia tu ila kiuhalisia hakuna mabeberu mabaya kama mabeberu meusi, yaani yana roho za chuki, choyo, hasadi, roho mbaya, wivu, visasi, dhuluma na kila aina ya uchafu ndani ya mioyo yao.
Maendeleo hayana chama
Huo ndo uchawi wao, wao wana aina nyingi za kuwanga juu ya ardhi yetunlikuwa Morogoro llast week, kule juu Milimani MTC nikawa naskia vitu km risasi! Nikawauliza wenyeji nini hiki? Walinijibu huyo ni Mchina anatawanya mawingu ya Mvua!
HahaSijui hili nimeliskia wapi, kuna mijamaa nimeiskia kama siku tatu zimepita nikawaona kama ni ma chizi fresh
Kwa kweliTumeshachanganyikiwa kwenye vipaumbele cha kwanza kimefanywa cha mwisho na cha mwisho kuwa cha kwanza.
Striglers gorgeWaliwekeza kwenye nishati kwanza. Umasikini unachangia ukataji miti tupate kuni na mkaa.
Gesi ingekuwa nishati kuu tungeokoa sana miti.