Tetesi: Huku wachina kule mvua, njaa na maradhi vinatuua watanzania

Jamani na huo ukame huko Turkana ni sababu ya wachina au ni mabadiriko ya tabia nchi??
Huko kuna miradi ya ujenzi wa visima vya mafuta na miundo mbinu mingine..

https://www.JamiiForums.com.com/ind...enyan-oil-may-be-a-recipe-for-disaster.79062/
 


Turkana ni kame miaka nenda rudi sasa wewe unaleta ya jangwa la sahara hapa
 
Hakuna kitu kama hicho na Kenya je? Hizi ni chuki binafsi za watu kufikiri kua wachina ndo wasababishaji, huu ni mbadiliko wa tabia nchi tu, kwa mtindo huu watanzania tuna safari ndefu sana.
 
Na ule ukame uliotokea miaka 1983 kule Ethiopia watu wakafa njaa vipi na kwenyewe ilikuwaje?
 
Asante sana Chifu, na mawatu kama hawa ndiyo wanaofanya hata Mungu ashindwe kurudi upesi, maana anayavumilia yabadilike weee...lkn wp.

Unaanzaje kuleta imani za kishetani ambazo tangu na hata ss hv hazijawahi kumnufaisha Mtu na chochote zaidi ya mateso chungunzima?

Hivi hao wakala wakuu wa shetani washirikina/wachawi/waganga wa kienyeji/mapepo/majini wana maisha gani hasa kuliko wanaomtegemea Mungu atupatiaye uhai?

Kweli duniani kuna Watu, Viatu, Vijitu, Mijitu, Majitu na Mawatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe ukawaamini still kila kukicha kwao wanahangaika na hizo hizo mvua zinazowapatia mafuriko, vimbunga, tsunami, milipuko ya volcano?

Acha imani potofu wewe, nguvu ya Mungu haipingwi kamwe na kiumbe chochote kiitwacho Binadamu.
nlikuwa Morogoro llast week, kule juu Milimani MTC nikawa naskia vitu km risasi! Nikawauliza wenyeji nini hiki? Walinijibu huyo ni Mchina anatawanya mawingu ya Mvua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K Kwani Mungu alisafiri kwenda wapi hadi ashindwe kurudi kwa ajili ya watu?
 
Hakuna kitu kama hicho na Kenya je? Hizi ni chuki binafsi za watu kufikiri kua wachina ndo wasababishaji, huu ni mbadiliko wa tabia nchi tu, kwa mtindo huu watanzania tuna safari ndefu sana.
Kama vile ule ukame wa njaa kali sana TZ kukosa mvua miaka ya 1997 ilisababishwa na mchina mpaka tuliombaga misaada ya mahindi USA.

Yani TZ kuendelea bado sana kwa imani hizi za kishirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…