Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

Huko usomalini si ndio wanaweza Kuoa wengi au?
Ukiona hao wameweza kurithishana ni either wapo wachache na familia ni chache pia au mzee babu aliacha utajiri mkubwa ambao asaiv yamebaki malori 90

Jamii zinazotekeleza polygamism na extended family kurithishana mali vizazi na vizazi ni ngumu sana
 
Hii safi sana
Biblia inasema fedha na mali mtu hupewa na baba yake
Kimsingi wazazi wote wangekua wanatimiza hili level za maskini zingepungua mno
 
Wasomali wana uthubutu sana, ndio maana utawakuta karibia nchi zote duniani na wengine sasa hivi ni wabunge katika bunge la Marekani.
 
Hapa Tz, wazazi hawaandai chochote kwaajiri ya watoto.

Huyu wa malori 90 ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali. Msikilize anavyoisifia nchi yake Tanzania na mipango ya kuikuza kampuni hii ya kiTanzania kikanda eneo hili la Afrika.
 
Succession plan wanakuwa nazo baadhi ya wafanya biashara ndo maana zinaish biashara zao

Nadhani nipo sawa brother Mzee wa kupambania
Blood Ibn Unuq
Uko sahihi mkuu, ndio maana unaweza kukuta kuna watu biashara zao zinarithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na zinaendelea kufanya vizuri

Mfano mzuri ni Mo tangu familia imweke kuwa CEO wa MeTL ameongeza mapato ya kampuni yao kutoka $30 million to over $1.5 billion, hiyo ni kati ya mwaka 1999 mpaka kufikia 2018
 
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.

Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud

Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.

Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.

Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.

Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kijinga kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambania, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kapitia msoto.

Baba anashirikishaje mtoto hio biashara ikiwa:-
1.Kazi ni kuwanga tu,mtu anabaka watoto wa mitaani anawa.fira ndio Amelia tajiri
2.Mtu ameiba taasisi kapata pesa amekia tajiri,anawashirikishaje watoto
3.mama ameadanga,amepewa mtaji anamshirikishaje mtoto na huo ufirauni
4.mtu ametoa rushwa Kawa mbunge,unamshirikishaje mtoto
Hao wazee walianza from the scratch,swala 5,muda wa ibada,biashara inafungwa mtoto anaona tola mdogo,wateja wanakuja kihalali,hamna janja janja,.....watoto wanasoma from motor skills biashara za wazazi wao
 
Uko sahihi mkuu, ndio maana unaweza kukuta kuna watu biashara zao zinarithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na zinaendelea kufanya vizuri

Mfano mzuri ni Mo tangu familia imweke kuwa CEO ameongeza mapato ya kampuni yao kutoka $30 million to over $1.5 billion, hiyo ni kati ya mwaka 1999 mpaka kufikia 2018
Wafanya biashara wa kibongo inabidi wapate hii ili wajue biashara zinatakiwa ziishi baada ya founder kufariki au kuacha majukumu kwenye biashara

Tatizo ni ubinafsi + choyo inafanya biashara za walio wengi kushindwa kusimama na kuendelea baada ya muhusika ku cease
 
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.

Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud

Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.

Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.

Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.

Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.

Mlee mtoto kama mwana mfalme kwa miaka mitano, mlee mtoto kama mtumwa kwa miaka kumi na Kisha mfanye kuwa rafiki yako miaka yote .
Hii ni falsafa ya wahindi.
NJOO BONGO SASA.
KWa miaka mitano mtoto alelewa kama mwana mfalme ☑️✅.
Kwa miaka kumi hapa ndo mfurugano sasa. Kuna wa kulea kama mwana mfalme na wengine ni kuwa uyaone.
Ikifika stage ya kumfanya mtoto kuwa rafiki, mnakua maadaui moja kwa moja.
Tutafuzu vpi hapo , kichwa Suzuki engine ya Isuzu.
 
Na ni mtanzania kasomeshwa hadi Marekani kisha kaamua kurudi nyumbani Tanzania kushiriki kuendesha kampuni ya familia.

Hongera sana kjana mtanzania na familia kwa kuonesha mifano mizuri. Jamii zetu zingine za kiTanzania watasema ooh kijana badala ya kwenda kuanzisha biashara zake anavizia urithi.

Baadhi ya waTanzania Wanasahau urithi unaweza kuwa majumba, malori, boti za uvuvi, mifugo n.k Lakini utajiri huo hatuuoni tunataka vijana tujiajiri badala ya kushirikishwa katika shughuli za kiuchumi za familia zisonge mbele kizazi hadi kizazi.
Tatizo tukiwaamini na kuwashirikisha mnafuja mali kwa kuhonga, ulevi na kununua vi IPHONE ili muonekane wa maana.
Mkipita mbele ya videmu mnatingisha funguo za gari ili muonekane, mkuenda bar mnaagiza windok na henken huku videmu vyenumkivinunulia savana na saint Anna wine. Mwisho wa siku mnaua biashara zetu ingali tu hai.
 
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.

Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud

Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.

Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.

Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.

Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.

Wabantu tuna roho uchoyo na roho mbaya hata kuishi pamoja tu ni ngumu, embu angalia familia ya abood hadi leo wote wanaishi pamoja as a family , wabantu mtu akioa keshajitoa kwenye familia ni yeye na mke wake, kwa hali hii ngumu kurithishana mali kutoka kizazi hadi kizazi ,its all startsat family level
 
Huko usomalini si ndio wanaweza Kuoa wengi au?
Nilitaka kusema Hilo pia
Wasomali na waarabu wanaongoza kua na extended families lkn ndio hao hao wanaongoza kua na generational business
Mi hua nawaangalia kina ALLY'S STAR, A.N CLASSIC
Biashara ya mabasi wameirithi kutoka Kwa wazazi wao, wanaiendeleza
Yale mabasi hayamilikiwi na mtu mmoja ila jina wanalotumia ni moja
Kina dewj nao wapo wengi ila biashara zao wanarithishana
 
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.

Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud

Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.

Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.

Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.

Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.

Wewe tafuta vyako uwaachie wanao kama unadhani ni rahisi hivo
 
Black Mamba Anazaa Ili Watoto waje kuteseka nae akianza kuugua uzeeni ila kuhusu cha kumrithisha huyo mtoto huwa wanaona kama haiwahusu.
 
Back
Top Bottom