Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Mtu mweusi hanaga akili alichojaaliwa yeye ni roho mbaya tu haijalishi kasoma au la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Sasa sijui huyu kijana wangu nianze kumfundisha kuendesha boda boda na kunywa visungura asije akashindwa kusimamia hii biashara yangu🐼
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
Walianza na lori 2 ndo zimefika 90Ukiona hao wameweza kurithishana ni either wapo wachache na familia ni chache pia au mzee babu aliacha utajiri mkubwa ambao asaiv yamebaki malori 90
Jamii zinazotekeleza polygamism na extended family kurithishana mali vizazi na vizazi ni ngumu sana
Huenda mori yalikuwa hata 200Ukiona hao wameweza kurithishana ni either wapo wachache na familia ni chache pia au mzee babu aliacha utajiri mkubwa ambao asaiv yamebaki malori 90
Jamii zinazotekeleza polygamism na extended family kurithishana mali vizazi na vizazi ni ngumu sana
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
Sasa ukioa unawezaje kukaa na watu wanaozaa kama panya huku wana uwezo mdogo na wewe bado unajitafuta utawalisha nini?Wabantu tuna roho uchoyo na roho mbaya hata kuishi pamoja tu ni ngumu, embu angalia familia ya abood hadi leo wote wanaishi pamoja as a family , wabantu mtu akioa keshajitoa kwenye familia ni yeye na mke wake, kwa hali hii ngumu kurithishana mali kutoka kizazi hadi kizazi ,its all startsat family level
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
“Urithi ni elimu” kauli inayotumika na wazaz ambao wanakwepa kuwaachia au wanaona hamna la kuwaachia watoto.
The fact hata bila huyo mzazi, kwa mifumo ya sasa mtoto angepata elimu.
Lakini kwa upande mwingine shida kubwa ipo kwa watoto wenyewe wa kuweza kurithishwa hizo mali, watoto wengi akili zao ni mbovu Sana. Hawawezi kabisa kusimamia mali za urithi wanazoachiwa na wazazi wao hata Kama wazazi wenyewe walijitahidi kuwashirikisha watoto wao katika usimamizi wa hizo mali wakati walipokuwa bado wapo hai. Watoto wengi Sana wa Sasa akili zao ni mbovu Sana, linahuzunisha Sana suala hili. Vijana wakiachiwa mali za urithi wanakuwa wafujaji Sana, wanazitapanya hovyo hovyo kwa kuhonga wanawake au kuhonga wanaume, hatimaye wanafilisika na kuwa na hali ngumu Sana ya maisha.Succession plan wanakuwa nazo baadhi ya wafanya biashara ndo maana zinaish biashara zao
Nadhani nipo sawa brother Mzee wa kupambania
Blood Ibn Unuq
Na tunaouziwa Ngano n9 Tanzania Kisiwa cha Amani.Pamoja na vita , Ukraine imeandikisha rekodi ya kuuza mazao ya Kilimo Kwa Wingi sawa na kabla ya vita.
Maisha yenyewe tu mtaani ni Elimu Tosha. Labda kama.unataka Elimu ya Kusolve Quadratic Equation“Urithi ni elimu” kauli inayotumika na wazaz ambao wanakwepa kuwaachia au wanaona hamna la kuwaachia watoto.
The fact hata bila huyo mzazi, kwa mifumo ya sasa mtoto angepata elimu.
Kama ndio hivyo hongera kwao nitawatafuta wanipe strategies tuna kamirathi ketu nyumba mbili tupo watoto 20 kutoka familia 6Walianza na lori 2 ndo zimefika 90
Mwenyewe nimefikiria kama weweHuenda mori yalikuwa hata 200
Hiyo ji excuse nyingine, kuna elimu zaid ya mtaaniMaisha yenyewe tu mtaani ni Elimu Tosha. Labda kama.unataka Elimu ya Kusolve Quadratic Equation
Ili kupata watoto wa aina hiyo mzazi anatakiwa awaandae kuanzia utotoni. Si mtoto hujamshirikisha na kumuandaa then utu uzima ghafla unamuachia lazima azileLakini kwa upande mwingine shida kubwa ipo kwa watoto wenyewe wa kuweza kurithishwa hizo mali, watoto wengi akili zao ni mbovu Sana. Hawawezi kabisa kusimamia mali za urithi wanazoachiwa na wazazi wao hata Kama wazazi wenyewe walijitahidi kuwashirikisha watoto wao katika usimamizi wa hizo mali wakati walipokuwa bado wapo hai.
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
CanBaba anashirikishaje mtoto hio biashara ikiwa:-
1.Kazi ni kuwanga tu,mtu anabaka watoto wa mitaani anawa.fira ndio Amelia tajiri
2.Mtu ameiba taasisi kapata pesa amekia tajiri,anawashirikishaje watoto
3.mama ameadanga,amepewa mtaji anamshirikishaje mtoto na huo ufirauni
4.mtu ametoa rushwa Kawa mbunge,unamshirikishaje mtoto
Hao wazee walianza from the scratch,swala 5,muda wa ibada,biashara inafungwa mtoto anaona tola mdogo,wateja wanakuja kihalali,hamna janja janja,.....watoto wanasoma from motor skills biashara za wazazi wao
Hata uki supply chakula kwa meli zilizokamatwa umeulaSomali pirate..
Ni kweli kabisa unachosema, lakini bado watoto wengi Sana wa Sasa Wana tatizo baya la kuwa na akili mbovu. Unaweza ukafanya hivyo ulivyoeleza lakini mwisho wa siku bado watoto wenyewe wanaweza kuwa na tatizo hilo hilo baya la kusimamia mali za urithi au kushindwa kabisa kusimamia miradi ya wazazi wao. Mfano mwingine mzuri zaidi kwenye hili ni kufa kwa Kampuni ya Usafirishaji Abiria ya Mabasi ya Hood (Hood Company Ltd). Kwa taarifa za uhakika nilizopata ni kwamba Mzee Mmiliki mwanzilishi wa Kampuni hiyo ameamua kuachana na biashara hiyo baada ya kuona kwamba hakuna hata mtoto wake mmoja mwenye nia au hamasa ya kuendeleza uendeshaji wa Kampuni hiyo aliyoianzisha. Hivyo, kutokana na umri kumtupa mkono ameamua bora aachane na hiyo biashara na apumzike baada ya kukosekana mtu mwenye nia ya kuendeleza uendeshaji wa Kampuni yake hiyo.Ili kupata watoto wa aina hiyo mzazi anatakiwa awaandae kuanzia utotoni. Si mtoto hujamshirikisha na kumuandaa then utu uzima ghafla unamuachia lazima azile
Mfano familia ya mo-dewji
Imagine asingehusishwa na mzazi wake , gafla akapewa metl at age ya utu uzima? Ingekuwepo?
Namaanisha hatuwezi kufanya jambo kwa pamoja kwa ajili ya roho za uchoyo na ubinafsiSasa ukioa unawezaje kukaa na watu wanaozaa kama panya huku wana uwezo mdogo na wewe bado unajitafuta utawalisha nini?