Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Pombe, ngono, stareheLakini kwa upande mwingine shida kubwa ipo kwa watoto wenyewe wa kuweza kurithishwa hizo mali, watoto wengi akili zao ni mbovu Sana. Hawawezi kabisa kusimamia mali za urithi wanazoachiwa na wazazi wao hata Kama wazazi wenyewe walijitahidi kuwashirikisha watoto wao katika usimamizi wa hizo mali wakati walipokuwa bado wapo hai.