Ukiona hao wameweza kurithishana ni either wapo wachache na familia ni chache pia au mzee babu aliacha utajiri mkubwa ambao asaiv yamebaki malori 90Huko usomalini si ndio wanaweza Kuoa wengi au?
Alafu wakizeeka wanataka watoto wawatunze,usipowatumia ela wanaweza kuachia hata laanaHapa Tz, wazazi hawaandai chochote kwaajiri ya watoto. Urithi wako ni elimu bwashee!
Hapa Tz, wazazi hawaandai chochote kwaajiri ya watoto.
Uko sahihi mkuu, ndio maana unaweza kukuta kuna watu biashara zao zinarithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na zinaendelea kufanya vizuriSuccession plan wanakuwa nazo baadhi ya wafanya biashara ndo maana zinaish biashara zao
Nadhani nipo sawa brother Mzee wa kupambania
Blood Ibn Unuq
Baba anashirikishaje mtoto hio biashara ikiwa:-Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kijinga kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambania, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kapitia msoto.
Hoja ni kwamba tuandae misingu mizur kwa ajili ya kesho nzuri ya watoto wetuKwahiyo hapo hoja ni kwamba?
Wafanya biashara wa kibongo inabidi wapate hii ili wajue biashara zinatakiwa ziishi baada ya founder kufariki au kuacha majukumu kwenye biasharaUko sahihi mkuu, ndio maana unaweza kukuta kuna watu biashara zao zinarithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na zinaendelea kufanya vizuri
Mfano mzuri ni Mo tangu familia imweke kuwa CEO ameongeza mapato ya kampuni yao kutoka $30 million to over $1.5 billion, hiyo ni kati ya mwaka 1999 mpaka kufikia 2018
Mlee mtoto kama mwana mfalme kwa miaka mitano, mlee mtoto kama mtumwa kwa miaka kumi na Kisha mfanye kuwa rafiki yako miaka yote .Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
Tatizo tukiwaamini na kuwashirikisha mnafuja mali kwa kuhonga, ulevi na kununua vi IPHONE ili muonekane wa maana.Na ni mtanzania kasomeshwa hadi Marekani kisha kaamua kurudi nyumbani Tanzania kushiriki kuendesha kampuni ya familia.
Hongera sana kjana mtanzania na familia kwa kuonesha mifano mizuri. Jamii zetu zingine za kiTanzania watasema ooh kijana badala ya kwenda kuanzisha biashara zake anavizia urithi.
Baadhi ya waTanzania Wanasahau urithi unaweza kuwa majumba, malori, boti za uvuvi, mifugo n.k Lakini utajiri huo hatuuoni tunataka vijana tujiajiri badala ya kushirikishwa katika shughuli za kiuchumi za familia zisonge mbele kizazi hadi kizazi.
Wabantu tuna roho uchoyo na roho mbaya hata kuishi pamoja tu ni ngumu, embu angalia familia ya abood hadi leo wote wanaishi pamoja as a family , wabantu mtu akioa keshajitoa kwenye familia ni yeye na mke wake, kwa hali hii ngumu kurithishana mali kutoka kizazi hadi kizazi ,its all startsat family levelUbinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
Nilitaka kusema Hilo piaHuko usomalini si ndio wanaweza Kuoa wengi au?
Wewe tafuta vyako uwaachie wanao kama unadhani ni rahisi hivoUbinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss wa kampuni ya malori 90 yanayosafirisha mafuta Zambia, Congo, Rwanda, n.k.
Yeye ni kizazi cha tatu cha biashara ya familia, biashara ilianzishwa na babu yake, ikarithishwa kwa baba yake na sasa ni yeye kizazi cha tatu anaisimamia.
Alianza kuzoeshwa biashara ya familia akiwa na miaka 6 (sita), kufikia 20 tayari alikuwa kaiva, tayari ana ujuzi wa malori, anavijua vibali husika vya biashara na kujifunza nidhamu ya fedha kwa kujionea jinsi pesa inavyotafutwa.
Inasikitisha kuona waafrika hasa hii asili ya wabantu bado tupo na huu ujinga wa kila mtu ajitafute kivyake, halafu tumekuwa brainwashed na huu utamaduni wa kumuona mtu alierithishwa biashara sio chochote, tunamsifu yule aliejipambana kutoka sifuri, tunapenda kuona mtu aliefanikiwa kwa kupitia mikiki na msoto.
Umeanza kutugawa sio tena Wafrika bali waafrika wabantu?Waafrika hasa wabantu tuache ubinafsi, wazazi waandae watoto kusimamia biashara