Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Pombe, ngono, stareheLakini kwa upande mwingine shida kubwa ipo kwa watoto wenyewe wa kuweza kurithishwa hizo mali, watoto wengi akili zao ni mbovu Sana. Hawawezi kabisa kusimamia mali za urithi wanazoachiwa na wazazi wao hata Kama wazazi wenyewe walijitahidi kuwashirikisha watoto wao katika usimamizi wa hizo mali wakati walipokuwa bado wapo hai.
Sababu hazikosekani siyoSomali pirate..
Elimu inatosha kama wazaz ni maskinii utakiwi ku complain kuhusu wazaz wako jaribu na wew kutengeneza utajiri ukiweza sawa ukishindwa sawa watoto wako pia watakulaumu piaHapa Tz, wazazi hawaandai chochote kwaajiri ya watoto. Urithi wako ni elimu bwashee!
HahahaYani mmenikumbusha mjomba wangu alipogeuka " Uncle" ghafla kupitia pensheni ya bibi alitumbua mali hata ukimpa tabasamu tu anakupiga elfu kumi, kuchukua costa nzima mkalewe na kesho yake mnapigwa supu kawaida sasa hivi hali yake mpaka huruma karudi kuwa mjomba
Nilikua nahudumia bann blood 👊🏾👊🏾Succession plan wanakuwa nazo baadhi ya wafanya biashara ndo maana zinaish biashara zao
Nadhani nipo sawa brother Mzee wa kupambania
Blood Ibn Unuq
😂😂😂😂Sasa sijui huyu kijana wangu nianze kumfundisha kuendesha boda boda na kunywa visungura asije akashindwa kusimamia hii biashara yangu🐼
Nilikutafuta blood sikukuona nkajua mambo mengi.......Nilikua nahudumia bann blood 👊🏾👊🏾
😂👊🏾Nilikutafuta blood sikukuona nkajua mambo mengi.......
Pole sana blood 👊
afu una ubabe mwingi 😂😂
Unazungumzia wote au baadhi?Waafrika hasa wabantu tuache ubinafsi, wazazi waandae watoto kusimamia biashara
Deep sana hii.Uchoyo ndiyo jadi yetu
Tunapata ajali ndugu wanatapanya Mali... watoto wanagawiwa kwa ndugu wawalee kwa mateso na masimango
"Baba yako alikuwa na pesa sana lakini hakututazama sisi na wanetu"
"Baba yako alipokuwa hai hakuwaruhusu hata mtutembelee"
"Baba yako alipokuwa hai hakupenda hata wageni tufike kwake"
"Baba yako alipokuwa hai mama yenu aliwekwa kipaumbele ndugu tulisahaulika"
Wanaume ,ombeni muishi maisha marefu sikuzote....juu ya kaburi kunatisha kwa familia mnazoziacha.
Kwa hiyo Nini kifanyike kuondo mindset hii mbovu?Uchoyo ndiyo jadi yetu
Tunapata ajali ndugu wanatapanya Mali... watoto wanagawiwa kwa ndugu wawalee kwa mateso na masimango
"Baba yako alikuwa na pesa sana lakini hakututazama sisi na wanetu"
"Baba yako alipokuwa hai hakuwaruhusu hata mtutembelee"
"Baba yako alipokuwa hai hakupenda hata wageni tufike kwake"
"Baba yako alipokuwa hai mama yenu aliwekwa kipaumbele ndugu tulisahaulika"
Wanaume ,ombeni muishi maisha marefu sikuzote....juu ya kaburi kunatisha kwa familia mnazoziacha.
Basi,tuishi humoKwa hiyo Nini kifanyike kuondo mindset hii mbovu?
Kusema wanaume waombes kuishi umri mrefu, Hilo ni jambo la bahati na sibu sana hasa Kwa kizazi Cha wanawake mliopo Sasa.