figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza utetezi na ushahidi wa pande zote mbili baina na Jamhuri vs Tundu Lissu, Jaji Ndunguru amesema "tunashukuru kwa shukrani za jana la leo. Hatuna cha zaidi baada ya submission.
Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa wanatuchochea, lakini hatukuchocheka."
Amesmea kwamba Kwa nature ya shauri lenyewe, linahitaji muda.
Hivyo Kama mlivyosema, shtaka ni jipya la Kifungu 38(2)(d).
Kwa maana hiyo, tutatoa hukumu tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.
