Ndoa?Akili mnemba inaenda kuvunja ndoa zetu sooner
Mbona hilo jambo jepesi kabisa.
Hii kitu inaweza kufyeka dunia nzima hii.
Binaadam mwenye akili za kawaida tu; kaleta usumbufu mkubwa kila sehemu duniani, itakuwa kitu kilichotengenezwa kuwa na akili kumzidi binaadam mwenyewe?
Hapo itakapofika mahali Akili Mnemba ikakataa maagizo ya bwege fulani lenye akili ndogo, hapo ndipo mambo yataanza kuwa ya moto kwelikweli.